President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
BRT phase II 80%. Wakenya waendelee kulalamika.
Yes we see canopy are u happy now 🤣🤣Hapo penye umecircle ndio canopy, unless you don't know the meaning of canopy.
Nimemwambia tofauti ya hiyo Dodoma na Pugi station ni hiyo canopy tu.😂😂We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
Ww nae punguza ujuaji wa kijinga lengo kubwa ni hili hapa sikiliza kwa umakini na utulize kipapa hicho kila kitu hujifanya ww mjuaji
Endeleeni kushangililia mwavuli.Yes we see canopy are u happy now 🤣🤣
View attachment 2458399
So after building kuisha ndio watasongeza reli ndani ya jengo?Kwan jengo limekamilika hapo?? Yani jengo liko 34% imagine mbona munakua wajinga kias hichi 😆😆😆 wivu wann mtoto wakiume ww jikaze budaa la sivo watakupumulia kwa style hii
Asante bwana mjuaji ww mwerevu karibu tenaNinafahamu ninachokiongea. Mjinga ni Wewe.
Tusubiri jengo likamilike tuone ni render au sio kwenye render 😆😆😆So after building kuisha ndio watasongeza reli ndani ya jengo?
Tushangilie wote wah wa waaaaaahhh asante kwa ushiriki wako 🤣🤣Endeleeni kushangililia mwavuli.
Mtapata something like this.Tusubiri jengo likamilike tuone ni render au sio kwenye render 😆😆😆
View attachment 2458403
Weweeeh kasema engineer kutoka kenya wote tushangilie waah wa waaaaahhh🤣🤣🤣🤣
Si unaona hata zinafanana?Weweeeh kasema engineer kutoka kenya wote tushangilie waah wa waaaaahhh🤣🤣🤣🤣
View attachment 2458408
Unadhani Tanzania ni Kenya. Ondoa mbolea kichwani mwako
Tushangilie kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣waah wa waaaaaaaaaahhhhSi unaona hata zinafanana?
View attachment 2458410
Kwani mnuka mavi unaumizwa na nn, angalia video engineer anasema kabisa kuanzia dk 5:08, kama unaumizwa na Tz kuwa infrastructure za ulaya nenda ufe.
Kwani mnuka mavi unaumizwa na nn, angalia video engineer anasema kabisa kuanzia dk 5:08, kama unaumizwa na Tz kuwa infrastructure za ulaya nenda ufe.
Alafu mbona hili ni jambo la kawaida kabisa, tushakuwa na miundombinu ya Europe hii sio mara ya kwanza, nyie endeleeni kushangilia expressway ya mchina a.k.a mradi mmoja [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2458415
Hii station imeinuka juu hakuna uwezekano wa hicho unachokisema cjui canopy cjui matakataka gn ni kujifariji tu, pia najua engeering ya Tz inakuchanganya sn, pole mnuka mavi, angalia jengo lilivyoinuka alafu jiulize iyo canopy cjui nn itakuwa wapi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si unaona hata zinafanana?
View attachment 2458410