Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Not that fast my friend, there are a lot of other technical differences between the two. Ours can take up to 35 metric
tons of axle load and is continuously welded which takes more weight and moves faster respectively. Not to mention our train being electrified.
The key determinant is width of 1435mm. Hizo zingine hata MGR inaezakuwa nazo.
 
nah doesn't look like that! the chinese duped u! nginjanginja can't handle 25 tons, the max limit is 18 tons!
What do you know about engineering? Do you know the weight of a single TEU? Kenya does double stacking of those. Now do you maths alafu uniambie kama haifiki 25 tons.
 
basi mbona hio miti mkiiona nairobi mnaiita pori, then ikiwa dom itaitwa 'environmentaly friends city' mbona.. aa? naitaji jibu🤔
They say if you can't beat them you join them. Si eti wanachukia miti ya Nairobi. Ni vile tu wanatamani sana na wao wangekuwa na idadi sawa ya miti kwenye miji zao kama ilivyo Nairobi ndio maana unaona comments na posts kama za huyo jamaa hapo juu. Ki undani wanatamani sana greenery ya Nairobi ndio maana unaona posts kama hizi lakini kwa vile wanaendeshwa na chuki na wivu, wanakejeli the same thing they long to have
 
iwe rough estimation iwe what u missed by far! hilo jengo haliwezi kuwa na length ya 10 m au 5.2 m! 10 m ni ndogo sana! kila floor ina roughly 4500-5000 sq m! na kama height (kimo) Toyota Hilux haizidi 2 m! BTW kuna standards za height of a commercial Buildings!
Scale niliyotumia ni crude measurement ya length ya pickup, ili kutengeneza picha ya kimo gani reli itakuwa, kutoka kule chini abiria watakapoingia. Dhumuni halikuwa kupata precision.
 
Scale niliyotumia ni crude measurement ya length ya pickup, ili kutengeneza picha ya kimo gani reli itakuwa, kutoka kule chini abiria watakapoingia. Dhumuni halikuwa kupata precision.
Haya Toyota hilux ina kimo cha 5.2 m (ghorofa mbili na ushee)! Happy?
 
Urefu ni length, ukuchukulia urefu wa gari kama scale na ukiyasimamisha hayo magari kwa uwima kuelekea juu utaelewa nilichokuwa namaanisha. Spatial ability yako imeanza kuyumba?
Standardwise, kimo cha commercial building hakizidi 2.7m! hata kikizidi si zaidi ya 3m! Hiyo 5 m labda unaongelea warehouse na si Dodoma SGR Station!
 
Standardwise, kimo cha commercial building hakizidi 2.7m! Labda unaongelea warehouse na si Dodoma SGR Station!
Haina shida, mimi nilikuwa namjibu Teargass aliyekejeli kuwa reli itabidi inyanyuliwe juu ili ifanane kama render. Sasa katika kumuonyesha ujenzi uko kama mchoro ndiyo nikatumia huo uwiano kutoka picha hiyo hiyo aliyoikejeli.
 
Mambo bomba kabisa
Fkt6FFuXwAI2fQa
 
Back
Top Bottom