Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona bado unaendelea kunionyesha tu render? Alafu usiniambie mambo ya Engineer kasema. Hata Magufuli pia mliambiwa Yuko ofisini anachapa kazi kumbe alikufa kitambo sana.
Wakenya ni vituko
1672039112257.png
 
Mbona bado unaendelea kunionyesha tu render? Alafu usiniambie mambo ya Engineer kasema. Hata Magufuli pia mliambiwa Yuko ofisini anachapa kazi kumbe alikufa kitambo sana.
Kameumia, angalia video kuanzia dk 5:08, hutaki engineer aseme zen unataka aseme nani Ruto au? Jibu hili hapa kuanzia dk ya 5:08 hata kama unaumia angalia hvyo hvyo

Hii station imeinuka juu hakuna uwezekano wa hicho unachokisema cjui canopy cjui matakataka gn ni kujifariji tu, pia najua engeering ya Tz inakuchanganya sn, pole mnuka mavi, angalia jengo lilivyoinuka alafu jiulize iyo canopy cjui nn itakuwa wapi View attachment 2458417View attachment 2458418
Kwani canopy Huwa zinaweka kwenye structures zimelala pekee? For your information, hata kitanda pia inaezawekwa canopy.
 
Kameumia, angalia video kuanzia dk 5:08, hutaki engineer aseme zen unataka aseme nani Ruto au? Jibu hili hapa kuanzia dk ya 5:08 hata kama unaumia angalia hvyo hvyo

So reli mnangoja kuingiza ndani ya jengo lini? Ama engineer hajaongelea hiyo?

1671959056342.png
 
Kwa canopy Huwa zinaweka kwa structures zimelala? For your information, hata kitanda pia inaezawekwa canopy.
Engineer hajasema kuhusu canopy, pia jengo limeinuka juu najua unajiuliza itakuwaje ila jiandae kisaikolojia, hii ndio Tz mpya na hatujaanza leo kuleta new technology in East and Central Africa, ona

Screenshot_20221224-051700.jpg
Screenshot_20221225-123812.jpg
 
Hicho ndicho kitu unapaswa kujiuliza itakuwaje abiria washushwe ndani wkt hatuoni reli? Jibu lako ni kwamba usiwe na haraka sisi ndio wababe wa hizi mambo
Ebu nionyeshe penye reli itaingia nayo ndani ya hiyo jengo. Just show me from this building.

1671959056342.png
 
Wewe sidhani hata unaelewa ninachokisema, ni hivi nilikuwa naongelea double standard.

Hayo waliyokuwa wanawashutumu wachina, google wamekuwa wakifanya toka 1998. Google toka ilipoanza imekuwa wakiweka cookies kwenye computer zetu kwa miaka 30.

Hawakuishia hapo, wakawa wanagawa analytics codes kwa websites mbalimbali (ikiwemo JamiiForums) ili kutrack mienendo ya watu dunia nzima.

Bado hawakutosheka, wakaanzisha browser yao (chrome) ili kuwakamata wengi zaidi, mwisho fungakazi wakanunua android ili waweze kuwa na full control ya identity ya watumiaji (finger print, facial recognition, voice id, contacts and just about everything at their disposal).

Kama hujui, Google, Youtube, Facebook, Instagram, whatsapp vyote hivyo ni vyombo ya kiupelelezi. Ndiyo maana baadhi ya nchi makini wamezizuia hizi huduma.
Point yangu ilikua ni kuwa na kampuni zaidi ya moja kwenye kutoa huduma ya umeme, ukasema kwa sababu za kiusalama haiwezekani, wakati nchi nyingine wanafanya kimsingi ni kuweka utaribu maeneo ya kiusalama yaendelee na usimamizi na serikali

Pia hata hao tanesco washawahi kuwa chini ya net solutions ya south africa. Je hapo ilikuaje kiusalama?

Pia kwenye dunia hii ya utandawazi knowledge is power, hakuna encryption ambayo iko safe 100%.

Data ndio biashara kubwa kwa sasa ndio maana wataalamu wa data science wanapiga hela. Ukishajisajiri mtandaoni ujue huko exposed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa mfano wa hiyo nchi.
 
Back
Top Bottom