Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama bus ni stone age transport then Tanzania is the bedroom of stone age😂😂🤣
Buses in Tanzania

305763101_459799009510255_2677849478929057226_n.jpg


311445873_477141541109335_128590735355203552_n.jpg


304788971_4971135186324729_3050825935808093514_n.jpg
 
Ninyi watu hamuwezi kutumia akili yenu wenyewe kabisa, kumbe Tanzania ilivyokua na festivals kila mkoa ndio mlisanukia hapo?
Acha ujinga zako. Kisumu started street festival long ago. This is last year December.

20221223_193628.jpg
1671813246639.jpg
 
Niliona hapa ulileta twite ya Tanzania Bound Buses
Unaweza kwenda kule na ujichagulie basi.
Kenya is a shithole country
Sasa nijichagulie basi na hizo zenu zinatengenezwa Kenya?😂😂😂🤣
 
Shida yenu hampendi kuambiwa ukweli....


Mombasa ni slums tupu zile....


Yaan ile favela ya Rio de Janeiro ndo mombasa unayojitapa nayo hapa....



Mbona Zanzibar ni mji mkongwe kama mombasa lakin unavutia na msafi?...


Mombasa ni mji wa hovyo tu...una bandari pekee

Shida yenu hampendi kuambiwa ukweli....


Mombasa ni slums tupu zile....


Yaan ile favela ya Rio de Janeiro ndo mombasa unayojitapa nayo hapa....



Mbona Zanzibar ni mji mkongwe kama mombasa lakin unavutia na msafi?...


Mombasa ni mji wa hovyo tu...una bandari pekee
Wacha kulinganisha Mombasa na vislums vya ajabu

Zanzibar
images (60).jpeg
Malawi_Rd,_Zanzibar_Town,_Tanzania_-_panoramio.jpg
 
Back
Top Bottom