President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,027
- 93,387
Oh this is fool!?
Oh this is fool!?
Andika tu kwa kiswahili bro😂😂Oh this is fool!?
Mimi sina sister ugly nurse.Andika tu kwa kiswahili bro😂😂
Kwahiyo beach zimeisha!? unaanza kuweka mabago ya matangazo.Reason why Mombasa receives more passengers than all Tanzanian airports is because of domestic travellers.
View attachment 2455731View attachment 2455732
Hii inazidiwa na Chinangali Park Dodoma
Hii ni statue ya Simba ama mbwa?😂Hii inazidiwa na Chinangali Park Dodoma
View attachment 2455741
View attachment 2455742
View attachment 2455743
Kwani nani kakwambia hiyo ni statue. Hicho ni kinyago.
Ndio nimekuliza ni ya mbwa ama Simba?😂😂😂Kwani nani kakwambia hiyo ni statue. Hicho ni kinyago.
Unajua maama ya kinyago!? Kinyago kitakuwaje mbwa au simba.Ndio nimekuliza ni ya mbwa ama Simba?😂😂😂
That sculpture ni ya nini? Ni mbwa ama Simba?😂😂Unajua maama ya kinyago!? Kinyago kitakuwaje mbwa au simba.
Unajua tofauti ya SANAMU na KINYAGO!?
Unarudia kitu kile kile tu. Ninakushauri jifunze kiswahili kwanza ndio uelewe ninachokuambia.That sculpture ni ya nini? Ni mbwa ama Simba?😂😂
Siku ile niliona haya nilihisi kutapika..., bakini na hizo ma container zenu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Ndoto ya kila mkenya ni kutembea ndani ya mabasi ya BRT.
View attachment 2455714
View attachment 2455715
View attachment 2455717
Tofauti na kenya umewahi kwenda nchi gani!?Siku ile niliona haya nilihisi kutapika..., bakini na hizo ma container zenu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2455754
View attachment 2455763
Afadhali nipande electric tuk tuk..., #Mombasa
View attachment 2455765
Tupe hesabu za makusanyo ya tozo na hizo pesa zinapelekwa wapi?Tozo sio kodi na haiko katika hesabu za TRA
Watakuambia kingereza hakisaidii lakini hapa Sasa wanatafuta fundi ambaye anaezaongea Kingereza😂😂
Watakuambia kingereza hakisaidii lakini hapa Sasa wanatafuta fundi ambaye anaezaongea Kingereza😂😂
Huyo alieandika number za gari ni kichaaSiku ile niliona haya nilihisi kutapika..., bakini na hizo ma container zenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2455754
View attachment 2455763
Afadhali nipande electric tuk tuk..., #Mombasa
View attachment 2455765