Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The most advanced army in East Africa.
20221223_123410.jpg
 
Naona hii picha mumeamu kujazijazia na uchafu uchafu hapo nyuma ili ionekane ni big area je nasema urongooooo?? Kataa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2455598
Clip ndiyo hiyo.., Bamburi mtambo na Kiembeni, good and bad side.., nje ya Mombasa Island., mbali na CBD., such density kwa umbali huo kutoka CBD haupati in any town outside Dar.., ama utapinga?..,
hizi mitaa sio za kitajiri..,
Bamburi

Kiembeni Mombasa..,
 
Does this mean that, wewe na wakenya wenzako hamjui vile brt iko au reli ya umeme hamjui ilivyo just because hazipo kenya?
Halikuelewa the sarcasm.., yaani hayo miji hayana such.., 😂 😂 😂 😂
 
Clip ndiyo hiyo.., Bamburi mtambo na Kiembeni, good and bad side.., nje ya Mombasa Island., mbali na CBD., such density kwa umbali huo kutoka CBD haupati in any town outside Dar.., ama utapinga?..,
hizi mitaa sio za kitajiri..,
Bamburi

Kiembeni Mombasa..,

Kwani unafkiri hii nimetoa wapi 🤣🤣🤣
Screenshots_2022-12-23-12-29-59.png
Screenshots_2022-12-23-12-29-27.png
 
Ruto anazurura Qatar Mara US na haelewi anachofanya huku life la Kunyaland likizidi kuwa worse..

President of no direction 😂😂
Screenshot_20221223-115656.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa kuonesha fake pic mbwembwe nyingi umekuja kudondokea pua leo nimecheka sana umekua sehem kubwa ya furaha yangu asante sana

RIP this pic 🤣🤣🤣🤣View attachment 2455633
Fake kivipi fafanua.., kwani ni photoshop? umeshangaa kuona Mombasa ni moto wa kuotea mbali unajaribu kujiliwaza, hapa kila mtu mwenye macho ameshuhudia, Dar haina jibu mitaa ya kawaida, ni uswazi ndio ya kulinganisha, potelea mbali na hekaya zako za abunuasi, hii ni kutoka kwa video clip😂😂😂😂😂😂😂
1671787269923-png.2455633
 
Yani nimecheka sana tena sana ndio maana nimekwambia toka asbh kwa leo pumzika 🤣🤣🤣🤣🤣 yani ni vichekesho vikubwa
Screenshots_2022-12-23-12-29-59.png
Screenshots_2022-12-23-12-29-27.png
 
Back
Top Bottom