Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa sasa

Hiv nyinyi watu kwa nini mnasifa sana....mnafaidika nini na uongo?

Cheki mombasa halisi...kama zizi hiv

Ghorofa nyingi zaidi ya 90% ni za udongo alafu pia Mombasa ni kuchafu sn pengine kuliko ka Nairobi.
 
Asante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana 🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni utumbo gani bro
Bamburi mtambo 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
View attachment 2455460
Unafikiria hizi ni zile uswazi zenu pale Dar..., Mombasa kwa wastani inalemea Dar makazi ya raiya wa kawaida.., ila both have swahili houses(uswazi), ila Mombasa has bigger standard estates za raiya, siongelei makazi ya matajiri, just normal residential estates Mombasa inazidi Dar jiji la uswazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Eti Bamburi haina access roads..., kilaza wewe😂😂😂😂😂😂, mko nyuma sana yaani mji wa pili una level na Dar na kuionyesha vumbi😂😂😂😂😂😂😂😂.,
1671786597257.png

1671786456765.png

1671786474780.png

1671786561631.png

1671786572266.png
 
Hapo ni Waterfront Karen. Tanzania is 10yrs behind Kenya😂😂
Sasa kumbe umerudi nairobi kwenye ka bwawa 🤣🤣🤣🤣🤣 mombasa imekosekana inamaana sasa zanzibar inashindana na nairobi seriou???😇🤣🤣
 
Sasa kumbe umerudi nairobi kwenye ka bwawa 🤣🤣🤣🤣🤣 mombasa imekosekana inamaana sasa zanzibar inashindana na nairobi seriou???😇🤣🤣
Mlisema hatuna watersports in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?😂😂😂
 
Unafikiria hizi ni zile uswazi zenu pale Dar..., Mombasa kwa wastani inalemea Dar makazi ya raiya wa kawaida.., ila both have swahili houses(uswazi), ila Mombasa has bigger standard estates za raiya, siongelei makazi ya matajiri, just normal residential estates Mombasa inazidi Dar jiji la uswazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Eti Bamburi haina access roads..., kilaza wewe😂😂😂😂😂😂, mko nyuma sana yaani mji wa pili una level na Dar na kuionyesha vumbi😂😂😂😂😂😂😂😂.,
View attachment 2455553
View attachment 2455546
View attachment 2455548
View attachment 2455551
View attachment 2455552
Asante kwa hasira kali kutoka bamburi mtamboni ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mlisema hatuna water park in Kenya. Ama Nairobi Iko Tanzania na hatujui?😂😂😂
Hio nayo ni water parks na swali lilikua zanzibar na mombasa sasa umehamisha magoli kutupeleka kwenye uchafu sasa🤣🤣🤣🤣🤣 hio nayo ni water sport
 
Asante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana 🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni utumbo gani bro
Bamburi mtambo 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
View attachment 2455460
Angalia ulivyo mwehu ichoboy01 😂 😂 😂 😂 😂 una edit picha kwa kuipaka filter iwe light ionekane imeparara.., hii iko kwa youtube haudanganyi..,

Picha ya ichoboy kwa wivu..,
screenshots_2022-12-23-10-56-06-png.2455460

Picha kamili ya Bamburi mtambo🔥🔥🔥🔥🔥😝😝 wivu ni mbaya...,
1671786892480.png

1671786959002.png

1671787015851.png

Kwa karibu..
1671786980784.png
 
Asante kwa hasira kali kutoka bamburi mtamboni ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna hasira ni fact! mimi sina ubaya ni Mombasa ilivyo siongezi sipunguzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom