Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo Unapofanya kazi Sai unalipwa how much!?
Je wahindi wanakulipa vizuri!?

View attachment 2455487
With all the noise kumbe JNIA ni level ya Mombasa 😂😂😂

number_of_passengers_2015_2021.png
 
Asante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana 🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni utumbo gani bro
Bamburi mtambo 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
View attachment 2455460
Wewe bongolala utasumbuliwa na Mombasa hadi lini?
Bamburi isikupee preasure za bure
Screenshot_20221223-111414~2.png
images (56).jpeg
images (58).jpeg
images (57).jpeg
maxresdefault.jpg
 
Tofauti ya Kenya na Tz ndio iko hapa, akili, akili, akili. Can you imagine watanzania wanaongelea uzinduzi wa kujaza bwawa kubwa la umeme, ujenzi wa SGR ndefu zaidi ya umeme Africa, mageuzi ya huduma bora za afya (as we speak muhimbili tayari ndiyo hospitali bora zaidi East and Central Africa), mapinduzi ya kilimo chenye tija kinachopelekea chakula cha uhakika. Eti mko hapa kuongelea recreational park kweli?

Recreation inapatikana vipi wkt over 90% ya Wakenya wana njaa?

Recreation inapatikana vipi ikiwa nchi nzima imezungukwa na slums?

Recreation inapatikana vipi ikiwa over 70% ya wakazi wa ka Nairobi ni slum dwellers?

Kaa ufikiri bro usiwe hapa kutafuta sifa za uongo alafu mkiwa pekeenu mnalia.
Tz is still among the Least Developed Countries. What's your take on that?😂😂
 
Back
Top Bottom