Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio kiboko ya dar reli ilioishia machakani 🤣🤣🤣🤣🤣 reli haijawah zalisha faida na haina matarajio hayo serious nimecheka sana thanks bro kwa kunipa furaha leo
Ya Tanzania miaka nenda miaka rudi haijaanza kazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 shirika la ndege halijui neno faida kama linapatikana kwa kamusi., ni foreign language, boss jipende mlivyo, sisi sio wenzenu, still a step ahead licha ya yote, hadi raha😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣 Hivi unatakiwa usingumzie,huoni 🤣🤣🤣 kwasababu u control non.. shirika lenu la ndege lenu lenyewe linauzwa.. 🤣🤣.. tukiongelea hiv vitu we post picha halaf kaa kimya. Maandazi wewe
 
20221223_093533.jpg
 
Naona unawashwa kalio 🤣🤣🤣 sikuwah kutoa quiz hapa munitaftie suburb na street zilizonyooka kama mwanza mukaanza kukimbiana humu ndani

Mm mwanza naifahamu vzr na mombasa na ifahamu vzr sana yani naweza kuzitofautisha kwa kutumia ufahamu wangu 🤣🤣🤣 tofaut ya mwanza na mombasa ni bandari ya mombasa lakini vilivyobakia mombasa itasubiri miaka 20 kwa mwanza
Utalia hadi machozi ya damu wewe mwarabu mwitu 😂😂😂
1669283341211~2.png
 
Je, recreational park imeondoa njaa?
Je, imeondoa Slums?
Je, imemaliza tatizo la ajira?
Je, imeondoa ukabila?
Je, imeondoa uchafu hapo ka Nairobi?
Kwa vile hakuna jibu kutoka Dar.., mjukuu sio makosa yetu ni Kenya ilivyo usituchukie bure😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ya Tanzania miaka nenda miaka rudi haijaanza kazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 shirika la ndege halijui neno faida kama linapatikana kwa kamusi., ni foreign language, boss jipende mlivyo, sisi sio wenzenu, still a step ahead licha ya yote, hadi raha😂😂😂😂😂
Acha kujifungia hapo kibera tembea uone. Hii ni Tanzania na siyo Hawaii

1671777407775.png
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] The best 007 atakuambia imewekwa filter., hawaamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
fb_img_16714777980711495-jpg.2455330

fb_img_16714778313562156-jpg.2455329

fb_img_16714779470576475-jpg.2455332
Tofauti ya Kenya na Tz ndio iko hapa, akili, akili, akili. Can you imagine watanzania wanaongelea uzinduzi wa kujaza bwawa kubwa la umeme, ujenzi wa SGR ndefu zaidi ya umeme Africa, mageuzi ya huduma bora za afya (as we speak muhimbili tayari ndiyo hospitali bora zaidi East and Central Africa), mapinduzi ya kilimo chenye tija kinachopelekea chakula cha uhakika. Eti mko hapa kuongelea recreational park kweli?

Recreation inapatikana vipi wkt over 90% ya Wakenya wana njaa?

Recreation inapatikana vipi ikiwa nchi nzima imezungukwa na slums?

Recreation inapatikana vipi ikiwa over 70% ya wakazi wa ka Nairobi ni slum dwellers?

Kaa ufikiri bro usiwe hapa kutafuta sifa za uongo alafu mkiwa pekeenu mnalia.
 
Unajikaza lakini wapi, hii Tanzania haunifunzi lolote kilaza😂😂😂😂😂😂😂., tuko nazo👇👇, topic sio hizo, haujikomboi bado..,
English point Marina, Mombasa
View attachment 2455356
View attachment 2455357
Asante kwa render leta real pictures sasa ikionesha hzo boats 🤣🤣🤣🤣 hio marina mm nishafika haya tuoneshe sasa
 
Tofauti ya Kenya na Tz ndio iko hapa, akili, akili, akili. Can you imagine watanzania wanaongelea uzinduzi wa kujaza bwawa kubwa la umeme, ujenzi wa SGR ndefu zaidi ya umeme Africa, mageuzi ya huduma bora za afya (as we speak muhimbili tayari ndiyo hospitali bora zaidi East and Central Africa), mapinduzi ya kilimo chenye tija kinachopelekea chakula cha uhakika. Eti mko hapa kuongelea recreational park kweli?

Recreation inapatikana vipi wkt over 90% ya Wakenya wana njaa?

Recreation inapatikana vipi ikiwa nchi nzima imezungukwa na slums?

Recreation inapatikana vipi ikiwa over 70% ya wakazi wa ka Nairobi ni slum dwellers?

Kaa ufikiri bro usiwe hapa kutafuta sifa za uongo alafu mkiwa pekeenu mnalia.
Nilijua utakuja na hekaya za abunuasi..,uongo, porojo, unajitetea tu, hadi raha, na bado, 😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Unajikaza lakini wapi, hii Tanzania haunifunzi lolote kilaza😂😂😂😂😂😂😂., tuko nazo👇👇, topic sio hizo, haujikomboi bado..,
English point Marina, Mombasa
View attachment 2455356
View attachment 2455357
Haya nioneshe hio sehem ya maegeshi ya boats ziko wapi hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaleta picha za render wakat mwekezaji mwenyewe anajuta hakuna biashara na hio sehem yote juu ni mbao kwa ajili ya kutembea
Screenshot_20221223-094712.png
 
Back
Top Bottom