Ukisahau mimi nitakukumbusha maana umetuhakikishia na kutuaminisha sana,Kuna unalololijua linaloendelea mkuu [emoji846]?Nawashangaa sana watu wanaodhan Samia atakuwa Rais baada ya uchaguzi 2025.. niwahakikishieni niko hapahapa .. mda ukifika nitawakumbusha [emoji3]
Kazi yangu itakuwa kusearch 2025 na kuwaletea comments za nyuma
Lakini wawe makini kwenye mkataba siyo siku moja aamue kufunga reli kuzuia mizigo isipite kwasababu zisizo na mashiko. Hawa watu ni janja janja sana. Hata kama s mchina yeyote yule atakayepewa hii project.Hii ni PPP project, na huyo mtu ni wachina.
Kwa Tanzania ni sehem ndogo sana, mana mchina atajenga kuanzia Uvinza (mchepuko waa Tabora-Kigoma SGR) hadi Musongati (Burundi) hadi Gitega (Burundi).
Mim naona ni faida kwetu, mana kuna namna mchina atafanya hio kipande chake kiwe na faida hivyo kuleta faida kwa line yetu to Dar port
Umeongea ukweli maana mimi huwa siwaelewagi kabisa, hawana uzalendo wala uchungu na Watanzania. Mmojawapo anajivisha mshipi shingoni wenye rangi nne zinazovutia kutuhadaa Watanzania, bure kabisa [emoji2955]Ila mkuu ni bora tubaki na huyu huyu sa100 kuliko hawa kina makamba au mwigulu.
Hiyo ya kwanza unaona nini? Unadhani ni toys za magari watoto wanacheza game? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimekuambia uweke operational flyovers, sio vitu bado Iko under construction [emoji1787][emoji23][emoji23]. As far as I know Tanzania only have one operational flyover[emoji1787][emoji23][emoji23]
Wapinzani Tz ni hovyo kabisa, kwa sasa hata Rais akibadilika bado ni ccm tu.Umeongea ukweli maana mimi huwa siwaelewagi kabisa, hawana uzalendo wala uchungu na Watanzania. Mmojawapo anajivisha mshipi shingoni wenye rangi nne zinazovutia kutuhadaa Watanzania, bure kabisa [emoji2955]
Yeye akithubutu kuweka wake angalia vizuri kucha, zina weusi ambao ni uchafu wa siku nyingi kwasababu ya kukosa maji masafi, hajisafishi vizuri...uchafu wao uko damuni.Usipate tabu mkono mzima huu hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2453606
* You didn't beat Covid. If you did, your messiah couldn't have died of the sameLook! You can go all day, talking all sorts of things just to make yourself feel better but the facts will always be......
*We beat COVID
*We had less deaths than you
*Our economy was not devastated by COVID-19
*We had the winning policy and you did not!
*And you were taken for fools all along ( you have always been fools anyways [emoji1745])
*JPM will forever live in our hearts.
So far 👇Na ukisikia vile mabati rolling mills husifiwa hapa...! Utabaki kinywa wazi
Kajitahidi kunywa maji masafi na matunda huo uchafu utaisha. Huku bongo scrub ziko mpaka za 2 unajifanyia mwenyewe lakini kwasababu hawa jamaa maisha yanawapeleka puta hiyo ni bajeti ya sukuma wiki ya wiki can't afford it [emoji846][emoji846]Kishikaji hakina afya kabisa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2453651View attachment 2453652View attachment 2453653View attachment 2453654
Thanks for accepting that only one flyover in Tanzania is operational 😂🤣Hiyo ya kwanza unaona nini? Unadhani ni toys za magari watoto wanacheza game? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Empty as usual 😂😂🤣So far 👇View attachment 2455143View attachment 2455144View attachment 2455146View attachment 2455147View attachment 2455148View attachment 2455149.. we ukitaka kufa kufa tu🤣🤣
Nimesikia kuwa itaizidi Lake Rukwa. Man made itakuwa kubwa kuliko ya asili. Bado wanasema eti tz uchumi wetu ni hafifu?Nyerere Dam litakua na ukubwa sawa na nairobi mbili View attachment 2453656View attachment 2453657
Stop cryingEmpty as usual 😂😂🤣
Ile kutamba na vitu vyetu alivikomesha Magufuli na chuki ikaanzia hapo. Loliondo na Ngorongoro walianza pia kupoteza tumaini kwa mama.In the year of our lord 2022 hawa watu bado wanafanya hivi? Nakumbuka walitamba sana na Mt Kilimanjaro. Lol
Niliwahi kwenda Kampala mara moja siku nafika naambiwa tayari sikujua kama ndio jijini nimeingia , mandhari yake haina mvuto hata kidogo. Unachoongea ni kweli sikuona amsha amsha za mji mkuu wa nchi tena kuushindanisha na miji za kibongo ni upuuzi mkubwa.Oya wanangu wa bongo sisi tupo vizuri sana kwa hapa EA,mara ya kwanza kabla sijatoka nilikuwa naiona bongo kama vile siielewi Fulani hivi!!!!!! Lakini last month nilifanikiwa kurudi Kenya nimeona mambo ni yale yale hakuna maendeleo yoyote watu wana shida mpaka zinawanukia yaani ule umaskini wenyewe……kula tu ni mtihani,kuoga ndo usiseme halafu ukichanganya na walivyo weusi kama south sudan unaweza ukacheka
Huu mwezi nilikuwa Uganda tena kampala yenyewe kabsa!!! Oya kiukweli ule mji ni wa kichoko sana,hakuna plan yoyote ya kwamba huu ni mji mkubwa…kampala ni kama moro wanangu…..ila hivi sasa wanajenga flyover ndefu sana kama ya KM 3 nahisi itaweza kubadili mazingira ya ule mji kidogo
Unapotembea,tembea kifua mbele…sisi ni matajiri sana
MUNGU ibariki Tanzania [emoji1241]
Tatizo la viongozi wetu hawana uthubutu wana deal na sheria hata kama ni kandamizi, sasa hapo napo wanasubiria mpaka ipeleke bungeni au kiongozi mkuu aseme ndipo watekeleze?Kabisa, me nilidhani baada ya ile dual carriage municipal wangejiongeza kusogeza pavings na hata kuweka garden and trees, lakini imebaki vilevile na zile palms zimekufa, yaani hili nalo mpaka tukope? Ilala municipa council mnazingua………pendezesheni mji, najua mnapita humu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo tutampa manji ajenge hizo pavements beach iwe yake for 20yrs then ataturudishia.
Kipindi hicho zitakuwa zimebomoka hivyo tutatafuta mwekezaji mwingine wa kurepair naye tunampa Beach for a certain period of time.
[emoji28] not even closeTotal cargo handled in 2021.
JKIA Vs Mabati rolling mills.
JKIA 363,204 tons
View attachment 2455124
Mabati rolling mills 20,000tons
View attachment 2455125