Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongea kwa uchungu sanaaa na ukijiendekeza utazeeka mapema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli huwa inakuacha hoi., pole sana mwehu, zoea na upende ukweli hautapigwa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ndege ziko empty.
Kwahiyo ndege zinakula mafuta ya bure kutoka Dar tu China. Jipige kifua jiite mpumbavu

Njoo na hapa ulete upumbavu Kutoka Amsterdam

1671721985886.png
 
Yani kwasababu yeye anaishi vizuri basi anadhani watz wnamaisha mazuri [emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna watu kibao wanaishi maisha mabovu sana hawezi jua maana mambo yake mazuri
Huyo kwa my estimation based on his reasoning, he is below average, hajafika bado, he is playing PR, struggling to put his best foot forward..,
 
Sasa mbona unakuwa mpumbavu sasa. Umesema hakuna Abiria JNIA. 😀 😀 😀
Where did I say "hakuna abiria JNIA"? quote me please..., naona umechanganyikiwa tayari ., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni vigumu sana team za Tanzania kupiga team za Kenya ikija kandanda.., usijitoe ufahamu mjukuu..,

Kwasasa hakuna ulinganisho ktk soka baina ya Tz na Kenya, sisi level zetu ziko mbali sn, soka letu limekuwa kubwa ghafla kuanzia 2020 kwa wanawake na wanaume na ndiyo maana tumeshiriki kombe la dunia la wanawake level ambayo hamtakaa mfike mpk dunia inaisha.
 
We were banned mka shine.., sasa we are back, kiboko ni ile ile., wacha hadithi mingi, ngoja tupatane kisha uje uzungumze, hizi empty domo domo zako na wishful thinking wacha kabisa, koma mjukuu.., ngoja reality check.,
 
Kwasasa hakuna ulinganisho ktk soka baina ya Tz na Kenya, sisi level zetu ziko mbali sn, soka letu limekuwa kubwa ghafla kuanzia 2020 kwa wanawake na wanaume na ndiyo maana tumeshiriki kombe la dunia la wanawake level ambayo hamtakaa mfike mpk dunia inaisha.
Mlishiriki ama mliudhiria?
 
Back
Top Bottom