President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Sijaelewa lengo lako kwa kweli. Na sijui ulipoanzia. Nataka kujua unataka nchi isikope?Unatafuta excuse za kutokuelewa?hata ivyo sio lazima uelewe kila jambo
Sijaelewa lengo lako kwa kweli. Na sijui ulipoanzia. Nataka kujua unataka nchi isikope?Unatafuta excuse za kutokuelewa?hata ivyo sio lazima uelewe kila jambo
Hawa ni wachina wa kuchimba madini wanarudi kwao acha ujinga😂😂🤣😂Hebu tupia picha za Airport yoyote ya Kenya
![]()
![]()
![]()
Hizi zinachapwa na hizo locos zilizoenda moshi
Hizi data zako kutoka MS Word!! Unajichosha kwa kweli.JNIA is ever empty. Wewe mbona usijuilize mbona Kila mwaka JNIA inapokea TU abiria 1.5M wakati JKIA inacheza above 8M?
View attachment 2454711
Sasa unataka wasirudi kwao?Hawa ni wachina wa kuchimba madini wanarudi kwao acha ujinga😂😂🤣😂
You posted the lower road. Not the flyover.Dude...that's my route. I posted Uhasibu few days ago. Tazara, Uhasibu,Chang'ombe all same design. Though Chang'ombe isn't fully operational
Ha ha ha I will be in Nairobi this weekend.You posted the lower road. Not the flyover.
Umeongea kwa uchungu sanaaa na ukijiendekeza utazeeka mapemaAmeona a mere traffic ya watu on a specific day anadhani ndio definition ya busy..,,ata top 15 Africa hiyo banda la kuku haiwezi ingia, it is a village airstrip![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()










Na mimi ninawaza kama wewe, tungeenda taratibu huku tunaangalia hii miradi kama inalipaAcha wakope tu alafu tufikie hali ya Ghana na miradi yao isiwe na tija ndio tutaelewana vizuri...Nilitegemea hiki ndio kipindi cha kwenda taratibu wao wanaonekana wanapupa sana...
Matokeo yake mwaka ujao wa fedha watatenga zaidi ya 10trillions tshs kuhudumia mikopo
Unadhani hapa Jumapili wanabeba matako yako?Hawa ni wachina wa kuchimba madini wanarudi kwao acha ujinga😂😂🤣😂
Usikute ni DorisSawa David.
Yani kumbe ulisema mghana ana maisha mazuri kuliko mtz kwasabu ya makaratasiGhana per capita mwaka 2021 inasoma $2445
Vitu vingine hua hazihitaji kubishabisha unapoteza wakatiView attachment 2454690View attachment 2454691




















Pingana na Tanzania Aviation Authority 🤣🤣😂🤣Hizi data zako kutoka MS Word!! Unajichosha kwa kweli.
Makaratasi yasipoku favor unaumia sana poleYani kumbe ulisema mghana ana maisha mazuri kuliko mtz kwasabu ya makaratasi
Usisahau na population difference, pia nikuambie tu ile cku Ghana itakuwa vzr kuliko Tz ndio cku najivua uraia rasmi naenda kuchukua wa Somalia![]()
Hakuna cha ajabu hapo, ata Mombasa to Dubai Kenya Airways does 14 flights daily...,Kama umeifahamu waambie na wenzako sasa.
Sijui kutoka Dar kwenda India Three Days per Week. Wakenya mnafikiri huwa tunasafirisha hewa?
View attachment 2454712
Welcome to the most developed City in East Africa.Ha ha ha I will be in Nairobi this weekend.
Hapendi ukweli huyo mwehu, mie namjua vizuri 😂 😂 😂 😂 😂 😂Makaratasi yasipoku favor unaumia sana pole
Ndege ziko empty.
Jipige kifua na useme wakenya ni wapumbavu. Sasa uhusiano wa Data zako na hizi wapi na wapi?Pingana na Tanzania Aviation Authority 🤣🤣😂🤣
In 2021 JNIA received only 1.5M passengers 🤣🤣😂
Mwanza your second city did less than 300k passengers in a year 😂😂
Arusha na Dodoma nazo hata sieziongelea😂😂
View attachment 2454720
Yani kwasababu yeye anaishi vizuri basi anadhani watz wnamaisha mazuriHapendi ukweli huyo mwehu, mie namjua vizuri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


