Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One of the many Bentley Bentayga in Kenya

Image
Hii hautaipata kenya mark my words tena hii ni ya 2022 hio ya uganda ni ya 2020 🤣🤣🤣🤣
20221219_235425.jpg
 
Bwawa la JNHPP limekimbiza watu, walidhani tunatania, kila siku huwa nasema humu uchumi halisi wa Tz ni $150b wanabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikute anazama inbobo kuomba kazi! Hawa watu mapunga sana..!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alivokosa lamboghini urus kaenda kuiba gari ya uganda sasa najiuliza uongo ule unamsaidia kitu gani yani bado wanamaisha yakudanganya vitu havina msingi kila kitu wana fake mpaka maisha yao wana fake
 
Tunawajua!
 
Tutawauzia umeme lkn nashauri tuwauzie as per hakuna kuwapunguzia bei kama hawataki wabaki na blackout yao ya kudumu. Tumewazidi parefu sn, wao wanaonesha vitu cheap sisi tunaonesha vitu vya msingi, hiyo ndiyo tofauti ya Tz na shit hole countries za EA.
Karibuni mfike hata 50%. Kenyans are smart, we will buy your power so that our access can reach 100%. Infact Kenya ndio itakuwa wa kusema, mkijivanya vichwa ngumu tunawaacha na kuendelea na kununua from Ethiopia.

image_52717f69-6116-4c88-8d58-fa54c1b9cdaf20210323_064236.jpg
 
Karibuni mfike hata 50%. Kenyans are smart, we will buy your power so that our access can reach 100%. Infact Kenya ndio itakuwa wa kusema, mkijivanya vichwa ngumu tunawaacha na kuendelea na kununua from Ethiopia.

View attachment 2452449
Keshakubali kwamba tutawauzia umeme, kiko wapi sasa, watu kujeniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwawa la JNHPP limekimbiza watu, walidhani tunatania, kila siku huwa nasema humu uchumi halisi wa Tz ni $150b wanabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watchman kwani leo hujaingia job?
 
Back
Top Bottom