Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI CBD at night

Image
 
aa aaa aa wapi.!!.... porojo na umbeya mtupu! huo..

nani hana stima kisumu??... ata nyumba za bati na tope mashinani wanazo iweje jiji kubwa kama kisumu!??

nani hana stima kweli kenya kwa wakati huu🤔🤔

get serious @kijekitile.. just say the true. stop spreading lies just to please your fellow fox.

good enough, the fact still remain kenya, by far, has an upperhand in this sector in the region.! at 85% accessibility. and we are not about to change tht anytyme soon!!!


nb: lets get private here..
(eeh.. lakini ulionaje kisumu.. eeh..
si imeendelea sana kuliko majiji za kibongo.. mfano mwanza.. sio?.. ama?
fungua roho mtu wangu..... wacha uwoga na aibu..
aibisha shetani leo walai🖐🏾 mshikaji wangu)
Naona umejaribu kuitaja mwanza kwenye mambo ya kijinga kama hayo…….Kisumu kuifananisha na mwanza bado sana tena sana jambo ambalo kisumu inataka kuishinda mwanza labda ni kile ki-fly-over Kimoja na sio kingine

Kaka mwanza imejengwa imajengeka achana na pale city center,unapaswa utoke nje kidogo ndo utanielewa kwanini nasema hivi…….mwanza imejengwa nje kuliko pale city centre me nahisi linganisha kisumu na Mbeya sio mwanza,dodoma au Arusha

Nimeenda sehemu mbali mbali za kisumu kiukweli nikuweke wazi tu kuwa kisumu hakuna Stima kama mtu ana umeme basi jua katoa rushwa sana serikalini ndo akapata stima
 
naomba kufahamu, hivi hapa TAZARA BRT itapita chini?
Kwa sababu ya intergration na barabara ya mandela obvious itapita chini. Kwa sababu hapo baadae mwendo kasi ya kwenda mandela road haiwepita juu maana fly over haina barabara ya kwenda left and Right. Sijui kama namna nyinhine ya kuziunga maana mimi sio engineer ni personal opinion tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natural capital constitutes a lot of things actually. Mining is one of them but it also entails other sectors like tourism (huge in Tanzania), the blue economy, and agroforestry.

Agriculture is big in Tanzania, but it’s not heavily advanced. That is many farmers still rely on rainfall for irrigation and we have fewer Agro-processing industries.

What I suggested was an improvement in Human Capital. As you’ve mentioned, some good projects in healthcare and education are underway and it’s good. However, we need better policies to fill in the gaps between our education and labor force skill set. We have more young people. If we provide them with high quality education, vocational training, and jobs to enhance their skill levels, our country will do great.

I strongly suggest enhancing the capacity of our educational institutions to be world class and maybe forming partnerships with other institutions abroad. Our curricula also need changes. We need to focus on areas like capital markets, technology and innovation, Real Estate, Science and Mathematics and many more.

We also need to forego our perceived notions about the arts. In many countries, art is a lucrative industry. From drama and film making to visual arts to music and crafts, we could grow so many talents and create another important sector in our economy. So, teach these things in school.

Lastly, there should be a policy to allow young people, such as high school and secondary school students or even college students, to get jobs or internships during holidays. Companies or other enterprises need to hire young people because it improves their soft skills. Even if the job or internship is not directly related to what they study. It could be as easy as shadowing a nurse or a doctor or becoming a teaching assistant, a server and dishwasher at a restaurant, or a barista! Get young people on their feet and start making them self aware of their potential!
Good take, Surely policy ya elimu inabidi ibadilike , Emphasis kwenye coding , programing kuanzia Primary , maana dunia inaenda huko

Pia Arts and Entertainment kukuza vipaji etc
 
Naona umejaribu kuitaja mwanza kwenye mambo ya kijinga kama hayo…….Kisumu kuifananisha na mwanza bado sana tena sana jambo ambalo kisumu inataka kuishinda mwanza labda ni kile ki-fly-over Kimoja na sio kingine

Kaka mwanza imejengwa imajengeka achana na pale city center,unapaswa utoke nje kidogo ndo utanielewa kwanini nasema hivi…….mwanza imejengwa nje kuliko pale city centre me nahisi linganisha kisumu na Mbeya sio mwanza,dodoma au Arusha

Nimeenda sehemu mbali mbali za kisumu kiukweli nikuweke wazi tu kuwa kisumu hakuna Stima kama mtu ana umeme basi jua katoa rushwa sana serikalini ndo akapata stima
na mombasa je? na nakuru je? achana na kenya naniii...🤪😜🤪
 
Back
Top Bottom