Mkuu huyo jamaa ukimjibu ni kama unajisumbua tu, huyo ana hasira zake binafsi wala sio kitu kingine mkuu, hakuwaga hivyo ila tangu atofautiane na members humu basi akaasi na kuanza kuiponda nchi yake. So huyo sio kwamba hajui kama nchi ime improve no bali anaponda kila kitu, na kuna wakati anaiponda Tz kwa kulinganisha na USA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I think saying we are reliant on natural resources is not right apart from mining which makes less than 10% of GDP how is that relying on natural resources ? we dont have oil and we have not yet processed a big chunk of Gas . We mostly depend on Agriculture na Services .Manfcturing inakuwa ingawa bado ni low tech na sio high tech , but we dont need that much high tech , just low tech done at bigger level ili ku employ masses with no high education. By low tech i mean ( we should start simple , textile, food processing, utensils , hii kukwamua watu wenye basic education level
While also investing in research and high tech, ambazo zita employ the generation which are graduates in coming 10 years
Yeah the metrics of HDI zipo kama unavyosema and what am saying is that Samia anajitahidi ku improve same metrics
1. Umesikia Project ya kujenga new univesities na kupanua campsues kuongeza enrlloment ? Ipo na ishaanza kutekelezwa 14 new campuses and expansion of old
2. Madarasa yanajengwa kila kukicha Atleast enrollment numbers zimeongezeka na walimu wanaongezwa
3.About health , facilities zinaongezeka , ambulance zimeongezwa , kuna Bima Affordable kama ICHF ya only 30K a year which mtu anaweza kupata basic care.Naona Hospital mpya nying zimepata EMDs na ICUs . Bado Doc to Pt ratio sio to standard that needs massive improvement
4.Life expectancy takes alot kuiongeza and hapa education inahitajika kwa ukubwa inculding kupunguza Emergencies za Motor accident na event za uokoaji kuongezeka , Uwezo wetu wa ku respond ni mdogo.Bado watu hawajui sana kuhusu chronic (Non communicable diseases) pia bado Communicable diseases nyingne zinaendelea kutusumbua hili litashukua muda kidogo lakini linahitaji .
5.Water services na mpa hongera na alot of diseases can be prevented na maji safi na hygine , wamejitahidi kusambaza na kuchimba visima
Hapo ni Kibera au barabara kuu imepita Kibera? Hebu niambie mazingira kama haya barabara itapita wapi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibera slum has better roads than dar-is-a-slum
Kitisuru hii hapa [emoji116][emoji116]Rich neighbourhood (kitisuru) in Nairobi with dual carriage roads. Dar kwa matajiri ni barabara za mchanga [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2451498View attachment 2451499
Kama hii ni planned basi huyo planner atakuwa ametoka Kibera, ona majengo yapo hovyo hovyo yamevamia barabara hayajafuata ramani pia machafu kama kawaida yenu.
Wote huu ni ushuzi [emoji116][emoji116]
Ndio, itapita katikati ya flyover.naomba kufahamu, hivi hapa TAZARA BRT itapita chini?
Unachokisema ni kweli Kenya wanaangaika sana na umeme....tena huko vijijini ndo ovyo kabisa ....Tazama hapaHapa EA hakuna nchi yenye matajiri wakubwa,uchumi imara na ulinzi madhubuti kama Tanzania…..juzi nilikuwa kisumu,kuna report article inasambazwa kuwa wapo juu kwenye electric accessibility kutuzidi sisi,aiseeh ninawaomba muwapuuzeni ni waongo sana hawa jamaa…….kenya hasa pale kisumu nzima umeme wa kenya power huwezi kuupata kirahisi bali ni special kwa shule na taasisi za umma lakini wananchi wanatumia solar sana kuliko hiyo kenya power………..Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana ninawaombeni watanzania wenzangu mkiwa mnabishana nao muwazoee sana maana wanatafuta sehemu ya kupunguzia hasira za ugumu wa maisha kule kwao
Habari ndio hio.