Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
The plots near this road will develop. This is what Kibera needs - more of such roads will open it up.
It's evidently clearly you don't even know where Kisumu is, leave alone setting a foot there.Hapa EA hakuna nchi yenye matajiri wakubwa,uchumi imara na ulinzi madhubuti kama Tanzania…..juzi nilikuwa kisumu,kuna report article inasambazwa kuwa wapo juu kwenye electric accessibility kutuzidi sisi,aiseeh ninawaomba muwapuuzeni ni waongo sana hawa jamaa…….kenya hasa pale kisumu nzima umeme wa kenya power huwezi kuupata kirahisi bali ni special kwa shule na taasisi za umma lakini wananchi wanatumia solar sana kuliko hiyo kenya power………..Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana ninawaombeni watanzania wenzangu mkiwa mnabishana nao muwazoee sana maana wanatafuta sehemu ya kupunguzia hasira za ugumu wa maisha kule kwao
🤣 🤣 🤣 you wish kenya ingekua na umeme wa mgao kama danganyika.Hapa EA hakuna nchi yenye matajiri wakubwa,uchumi imara na ulinzi madhubuti kama Tanzania…..juzi nilikuwa kisumu,kuna report article inasambazwa kuwa wapo juu kwenye electric accessibility kutuzidi sisi,aiseeh ninawaomba muwapuuzeni ni waongo sana hawa jamaa…….kenya hasa pale kisumu nzima umeme wa kenya power huwezi kuupata kirahisi bali ni special kwa shule na taasisi za umma lakini wananchi wanatumia solar sana kuliko hiyo kenya power………..Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana ninawaombeni watanzania wenzangu mkiwa mnabishana nao muwazoee sana maana wanatafuta sehemu ya kupunguzia hasira za ugumu wa maisha kule kwao
aa aaa aa wapi.!!.... porojo na umbeya mtupu! huo..Hapa EA hakuna nchi yenye matajiri wakubwa,uchumi imara na ulinzi madhubuti kama Tanzania…..juzi nilikuwa kisumu,kuna report article inasambazwa kuwa wapo juu kwenye electric accessibility kutuzidi sisi,aiseeh ninawaomba muwapuuzeni ni waongo sana hawa jamaa…….kenya hasa pale kisumu nzima umeme wa kenya power huwezi kuupata kirahisi bali ni special kwa shule na taasisi za umma lakini wananchi wanatumia solar sana kuliko hiyo kenya power………..Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana ninawaombeni watanzania wenzangu mkiwa mnabishana nao muwazoee sana maana wanatafuta sehemu ya kupunguzia hasira za ugumu wa maisha kule kwao
naomba kufahamu, hivi hapa TAZARA BRT itapita chini?
wenzako wameenda kupiga picha, walishindwa kupambana na mashambulizi ndani ya kenya mfano waste gate, garissa wataweza DRC?KDF sijaona walichofanya Tangu wameenda naona picha tuu
tuoneshe bichwa tafadhali.. sio carriagesUnapoendelea kujifariji kwa Maumivu,View attachment 2451461Meanwhile in Tanzania Mambo iko hivi 👆
Zinapita Chini, Mfano mzuri kabisa pale uhasibu flyover ukipita angalia vizuri, Lane mbili zimepita katikati vizuri kabisa.naomba kufahamu, hivi hapa TAZARA BRT itapita chini?
plan haikuwa nzuri tangu mwanzo, BRT ikipita chini foleni ya TAZARA itazidi kuwa kubwa!Zinapita Chini, Mfano mzuri kabisa pale uhasibu flyover ukipita angalia vizuri, Lane mbili zimepita katikati vizuri kabisa.