ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtumba hio, hata model imepitisha miaka kumi, side by side na amg bandia. Nani hajui badge ya AMG hua on the left. Wabongo mutapunguza ushamba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtumba hio, hata model imepitisha miaka kumi, side by side na amg bandia. Nani hajui badge ya AMG hua on the left. Wabongo mutapunguza ushamba.
Kumbe hata hujui hio ya black umepost sio S63. Punguza ushamba.Na hii je au ni ushamba tu 🤣🤣🤣🤣View attachment 2452077
Kazi yangu ni kukupa elimu tu 🤣🤣🤣🤣Kumbe hata hujui hio ya black umepost sio S63. Punguza ushamba.
Tzn Kuna mburula wengi wasiojitambua ndio maana huwa wanapiga makelele yasiyo na msingi..View attachment 2451734haya bass..
ruto alikua jana qatar🇶🇦 for worldcup finals, lakini hiyo sio hoja kwetu, sio issue hataa kidogo..
na hataa hatutaki kujua shughli zake ruto uko nje....
na try tu ku imagine, ingekua mama alizuru qatar🇶🇦 for worldcup finals!!🤔🤔 ile kelele ingekua hapa!....
yaani mama angekashifiwa ile mbaya!😠😠💥
nb:
ndomaana tanganyika hamuwezi endelea. mnataka mama akae tu nyumbani kamavile magafulu, na wala asitoke nje aka meet na potential investors, na ku gain motivation and inpiration, jinsi nchi zingine wameweza kufanya, ili pia alete hio maendeleo nyumbani..
mnafurahia sana akibaki tuu mashambani, na kua mshamba kwa kukaa tuu bongolala jinsi magafulu alivyo fanya.. 🤔🤔
Hadi umeanza kuguess ju hujui ni model gani. Punguza ushamba. 🤣 🤣 🤣Kazi yangu ni kukupa elimu tu 🤣🤣🤣🤣View attachment 2452092View attachment 2452093View attachment 2452094View attachment 2452095
Kzi yangu ni kukupa elimu tu 🤣🤣🤣 miliki kwanza gari alaf njoo tuongeeKumbe hata hujui hio ya black umepost sio S63. Punguza ushamba.
🤣🤣🤣🤣elimu imeingia sawasawa kwanza miliki hata probox kwanza alaf uje ukae tuongee sasaHadi umeanza kuguess ju hujui ni model gani. Punguza ushamba. 🤣 🤣 🤣
Hakuna mtu amefika Kisumu hapo. Most Tanzanians here claim to have been to Kenya but never trust them. Sasa mtu akisema Kisumu hakuna stima ni mtu wa kujadili naye kweli.aa aaa aa wapi.!!.... porojo na umbeya mtupu! huo..
nani hana stima kisumu??... ata nyumba za bati na tope mashinani wanazo iweje jiji kubwa kama kisumu!??
nani hana stima kweli kenya kwa wakati huu🤔🤔
get serious @kijekitile.. just say the true. stop spreading lies just to please your fellow fox.
good enough, the fact still remain kenya, by far, has an upperhand in this sector in the region.! at 85% accessibility. and we are not about to change tht anytyme soon!!!
nb: lets get private here..
(eeh.. lakini ulionaje kisumu.. eeh..
si imeendelea sana kuliko majiji za kibongo.. mfano mwanza.. sio?.. ama?
fungua roho mtu wangu..... wacha uwoga na aibu..
aibisha shetani leo walai🖐🏾 mshikaji wangu)
Tafuta probox kwanza alaf njoo tuongee jinga wewe 🤣🤣🤣Hadi umeanza kuguess ju hujui ni model gani. Punguza ushamba. 🤣 🤣 🤣
AMG za bongolala zikona bumper ya c200, gari sio amg line na umejikaza kuprove point. Yani hata body inaonyesha tu gari ni stock. 🤣 🤣 🤣 C63 ikona single exhaust tip kama mazda demio.🤣🤣🤣🤣elimu imeingia sawasawa kwanza miliki hata probox kwanza alaf uje ukae tuongee sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hadi umeanza kuguess ju hujui ni model gani. Punguza ushamba. 🤣 🤣 🤣
Hio ulipost mbona ikona single exhaust tip? Kama ni bandia ni bandia stop forcing issues.Tafuta probox kwanza alaf njoo tuongee jinga wewe 🤣🤣🤣
View attachment 2452103View attachment 2452104View attachment 2452105View attachment 2452106View attachment 2452107View attachment 2452108
tatizo sio c200 je ni ya mwaka gani ?? Ushawah uliza hilo swali 🤣🤣🤣🤣 tafuta probox alaf njoo tuongee mm na ww kuhusu european carsAMG za bongolala zikona bumper ya c200, gari sio amg line na umejikaza kuprove point. Yani hata body inaonyesha tu gari ni stock. 🤣 🤣 🤣 C63 ikona single exhaust tip kama mazda demio.
A real C63 wachana na hio bandia umepost.tatizo sio c200 je ni ya mwaka gani ?? Ushawah uliza hilo swali 🤣🤣🤣🤣 tafuta probox alaf njoo tuongee mm na ww kuhusu european cars
Kwani ikiwa na single exhaust ina tatizo gani 🤣🤣🤣 kwani manufacturer akiweka double exhaust na single kuna tatizo gani au ushamba tuHio ulipost mbona ikona single exhaust tip? Kama ni bandia ni bandia stop forcing issues.
A real C63 wachana na hio bandia umepost.
Tell me you know nothing about performance cars without telling me you don't know. 🤣🤣🤣 We ooooliskia wapi AMG C63 na single exhaust tip kama ya C200.Kwani ikiwa na single exhaust ina tatizo gani 🤣🤣🤣 kwani manufacturer akiweka double exhaust na single kuna tatizo gani au ushamba tu
Tafuta probox alaf njoo tuongee sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tell me you know nothing about performance cars without telling me you don't know. 🤣🤣🤣 We ooooliskia wapi AMG C63 na single exhaust tip kama ya C200.
KIMEINGIA VILE INAFAA🤣🤣🤣🤣Tafuta pro box alaf njoo tuongee sasa mm na ww 🤣🤣🤣🤣🤣
Nani kasema c63 ina single exhaust au unatafuta njia ya kuondokea 🤣🤣🤣🤣🤣 naona unazungusha maneno sikuelewTell me you know nothing about performance cars without telling me you don't know. 🤣🤣🤣 We ooooliskia wapi AMG C63 na single exhaust tip kama ya C200.