ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Weweeee piga makofi wa wa wa waaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaagiza kutoka Kenya. 🤣 🤣 🤣
Weweeee piga makofi wa wa wa waaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaagiza kutoka Kenya. 🤣 🤣 🤣
Nimeona Noble motors Dar 👇Show room ya BMW ya nn ikiwa watu waagiza direct 🤣🤣🤣
Hii ni showroom au website ya kuuza mihogo, mbona haijaandikwa BMW. Dealership wa mitumba.🤣🤣🤣
Mtumba. unajua X6 mpya haifanani hivyo.Nimeona Noble motors Dar 👇View attachment 2452041.. nairobae. Pitia hii
kwa hayo macho hako mabovu, wee unaona nn mbaya na hili stadia.Kwa viwanja kama hivi ?
Kisumu international stadium ?View attachment 2451895
Inafanana vp ww mwerevu kuliko sisi 🤣🤣🤣 tunazo na tumetuliaMtumba. unajua X6 mpya haifanani hivyo.
Tembelea showroom Nairobi uione utoe ushamba.Inafanana vp ww mwerevu kuliko sisi 🤣🤣🤣 tunazo na tumetulia
Nakwambia sisi tunazo na tumetulia hapa 🤣🤣🤣🤣 na tumeagiza wenyewe nina benz na BMW na zote nimeagiza nje ww utanifundisha nn???Tembelea showroom Nairobi uione utoe ushamba.
Bado unalia.🤣🤣🤣Nakwambia sisi tunazo na tumetulia hapa 🤣🤣🤣🤣 na tumeagiza wenyewe nina benz na BMW na zote nimeagiza nje ww utanifundisha nn???
noble-tz.comBado unalia.🤣🤣🤣
Kumbe umekubali hamna showroom. Pole sana.
![]()
Bado unalia.🤣🤣🤣
Kumbe umekubali hamna showroom. Pole sana.
![]()
Into brackets BMW Tanzania🤣🤣🤣 hawana rights za kutumia jina BMW Tanzania ju ni dealership ya mtumba.
Na tumetulia tu 🤣🤣🤣Into brackets BMW Tanzania🤣🤣🤣 hawana rights za kutumia jina BMW Tanzania ju ni dealership ya mtumba.
Tatizo lenu munaushamba mkubwa sana hakuna mtanzania atapoteza muda kuja kununua kitu kenya never ever mark my words 🤣🤣🤣🤣Into brackets BMW Tanzania🤣🤣🤣 hawana rights za kutumia jina BMW Tanzania ju ni dealership ya mtumba.
Mtumba hio, hata model imepitisha miaka kumi, side by side na amg bandia. Nani hajui badge ya AMG hua on the left. Wabongo mutapunguza ushamba.
🤣🤣🤣🤣🤣 lazma ulie nilijua tu wabongo hawana muda wakuongea watu ni action tu khe khe kheMtumba hio, hata model imepitisha miaka kumi, side by side na amg bandia. Nani hajui badge ya AMG hua on the left. Wabongo mutapunguza ushamba.
Na hii je au ni ushamba tu 🤣🤣🤣🤣Mtumba hio, hata model imepitisha miaka kumi, side by side na amg bandia. Nani hajui badge ya AMG hua on the left. Wabongo mutapunguza ushamba.