Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KIMEINGIA VILE INAFAA🤣🤣🤣🤣

Image
Pata probox alaf njoo tuongee 🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimecheka sana
 
Nani kasema c63 ina single exhaust au unatafuta njia ya kuondokea 🤣🤣🤣🤣🤣 naona unazungusha maneno sikuelew
Kwani mimi ndio nilipost ile amg bandia ya black na kujaribu kuijustify with 1 million useless pics from the internet. Punguza ushamba hata kama hamna showroom.
 
Kwani mimi ndio nilipost ile amg bandia ya black na kujaribu kuijustify with 1 million useless pics from the internet. Punguza ushamba hata kama hamna showroom.
Nani kasema c63 ina exhause moja nani kasema na ukipata hio kauli nimesema nitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣 uheheh kwamba AMG inakaa kushoto hvi mulirogwa na nani kwamba ukiwa mjuaji ndio unakua na akili
 
Nani kasema c63 ina exhause moja nani kasema na ukipata hio kauli nimesema nitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣 uheheh kwamba AMG inakaa kushoto hvi mulirogwa na nani kwamba ukiwa mjuaji ndio unakua na akili
Mwarabu bandia wa AMG bandia. 🤣 🤣 🤣
 
Kwani mimi ndio nilipost ile amg bandia ya black na kujaribu kuijustify with 1 million useless pics from the internet. Punguza ushamba hata kama hamna showroom.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana leo aiseeeeeeeee
 
Mm nikajua nakuonesha BMW kumbe kilichokuuma zaidi ni benz 🤣🤣🤣🤣
Hio ndio ilikua bmw brand new ya showroom. 🤣 🤣 🤣 Wewe mwarabu bandia ushamba itakuua nani alikudanganya gari yeyote bila number plate ni brand new.
 
kwa hayo macho hako mabovu, wee unaona nn mbaya na hili stadia.
infact its way better than those abandoned quarries of yours in all your cities and towns...
like mbeya for instance😆

kisumu stadium🏟 ni sawa na zile za qatar🔥🔥
View attachment 2452054

an abandoned Quarry tht has been fully utilized in Mbeya eti 'City'!!!👇🏽 😆😆 View attachment 2452055
Hiyo ni stadium? 🤣 🤣
 
Let me also type in English this time!!!

There is absolutely no f****king way I am agreeing to these stats! It's madness!

Wewe itakuwa huishi huku au hujawahi kwenda Kenya!

How can a country that is self dependent on its own food be worse than that country that depends on the other country's food?

It's not Rocket science bro!
Vitu vya kuambiwa ongeza na vyako pia!!
Ndio maana sikumjibu huyo. Siku hizi nikiona mtu yuko out of touch na reality namwacha akae kwenye self made bubble ya ujinga.
 
Hio ndio ilikua bmw brand new ya showroom. 🤣 🤣 🤣 Wewe mwarabu bandia ushamba itakuua nani alikudanganya gari yeyote bila number plate ni brand new.
Kilichokuuma zaidi hebu nieleze pengin3 naeza kua tiba nzuri kwako 🤣🤣🤣🤣mm nikajua BMW ndio itakusumbua kumbe benz jamani jamani pole basi na je ushapata hio probox au bado
 
Kilichokuuma zaidi hebu nieleze pengin3 naeza kua tiba nzuri kwako 🤣🤣🤣🤣mm nikajua BMW ndio itakusumbua kumbe benz jamani jamani pole basi na je ushapata hio probox au bado
Ulikua unanionyesha BMW brandnew. 🤣 🤣 🤣 Au ju haina number plate.
 
Nye nye nye AMG hua inakaa kushoto sijui hata walirogwa na nani 🤣🤣🤣🤣 ujuaji wa nn wakat huna hata baiskeli ya kusingiziwa kisim chenyewe itel bado fujo humu ndani
 
Back
Top Bottom