Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa bhn, sasa serikali yenu inashindwa nn kutengeneza na hii barabara ya chini, ya juu mmejengewa mnataka mjengewe na ya chini? Au ni technique kuwafanya maskini wengi wanaotumia hiyo ya chini watumie na ya juu ambayo haina gari kabisa tangu ufunguzi wake?
Barabara ya chini inatengenezwa
 
Kuna mkenya yeyote mwenye Ubongo wa kupangua hii hoja?
Screenshot_20221208-154145_Twitter.jpg
 
Acha upumbavu we kuzi, mna cities gani zilizo green kuliko Tanzania wakati nchi yenu ni desert?
Let's compare you top 5 cities to ours in terms of greenery
Nairobi is greener than Dar
Mombasa is greener than Mwanza
Kisumu is as green as Arusha
Nakuru is greener than Mbeya
Eldoret is greener than Dodoma
Bado unabisha?
 
Back
Top Bottom