NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,010
- 19,182
Sawa Mnyamwezi, ila usijifanye Mswahili kushinda Waswahili wenyewe.Hao walamu wangewafunza na kueneza kiswahili nchi yote ya Kenya, hapa Tanzania hakuna sehemu isiyojua Kiswahili. Asili na matumizi sahihi siyo kigezo cha kutokuwa mahiri.