NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
At the point it crosses The University of Nairobi, yes.Hahaha, can you drink water from Nairobi River ?
At the point it crosses The University of Nairobi, yes.Hahaha, can you drink water from Nairobi River ?
At the point it crosses The University of Nairobi, yes.
UON.Wewe ulisoma chuo gani ?
Siku hizi na nyie mnaitana kaka? Mmejifunza ustaarabu na utu wa kitanzania...baadaye msiache kuitana ndugu yangu mtaongeza upendo.Wahurumie kaka, labda ni kiingereza ulichotumia hakukielewa.![]()




Nimezaliwa Lamu - the birth place of Kiswahili. Usijifanye kunifunza lugha yangu Msukuma wewe.Siku hizi na nyie mnaitana kaka? Mmejifunza ustaarabu na utu wa kitanzania...baadaye msiache kuitana ndugu yangu mtaongeza upendo.
Mmezoea wewe kuja hapa, songa mbele, nipe sukuma wiki,patia chenji yangu haraka![]()
Anadhani wewe ni Mnyamwezi kama yeye. 🤣 🤣Nimezaliwa Lamu - the birth place of Kiswahili. Usijifanye kunifunza lugha yangu Msukuma wewe.
Njoo Arusha uwaone ndg zako wanatunza maua kwa nyumba na kulisha ng'ombe, hivi kwa kiingereza ndio wanaitwa mameneja wa kitu gani vile? Maana inaonekana mnafanya kazi za kisomi kuanzia East Africa na duniani koteU didn't get my point why I responded to your idiot countryman, watz walioko huku Kenya kwa wingi ni vijakazi, ama wanafanya kazi za chini sana, kama hawking, Kinyozi na boda boda riders, na omba omba wametapakaa.., nilikua nakanusha mijisifa hewa ya mwenzako ilhali wengi wanaikimbia nchi kukuja Kenya ama kuenda kwingineko kujitafutia hela..., sikusema tumefika ulimwengu wa kwanza, was busting the bubble ya mwenzako, misifa hewa, ilhali kwa ground ufukara ndio wimbo.., nyie ndio mko na kelele mingi na mbwembwe kwa lile halipo ama kama kipo ni kidogo to benefit all..., wacheni kelele, kueni wapole.,




Muhimbili bed capacity is 1500Ati vichache? How many hospitals in Tanzania have more than 500 beds?
Nimezaliwa Lamu - the birth place of Kiswahili. Usijifanye kunifunza lugha yangu Msukuma wewe.



si ndivyo mnavyoongea wengi wenu hasira za nini sasa? Haya lini mmewahi kuitana kaka humu?MuhimbiliAti vichache? How many hospitals in Tanzania have more than 500 beds?
Kwahiyo Wanyamwezi hawajui kiswahili, acha kubuyanga basi na wewe huijui Tanzania.Anadhani wewe ni Mnyamwezi kama yeye.![]()
![]()
Wamezoea umanambaSiku hizi na nyie mnaitana kaka? Mmejifunza ustaarabu na utu wa kitanzania...baadaye msiache kuitana ndugu yangu mtaongeza upendo.
Mmezoea wewe kuja hapa, songa mbele, nipe sukuma wiki,patia chenji yangu haraka![]()


Muhimbili mlongazila ni 1,500?Muhimbili bed capacity is 1500
Sisi Wakenya hatuna tabia ya kuwabeza wasio jua Kiswahili kama nyinyi. Ninachocheka ni irony ya Mnyamwezi kumshangaa Mswahili akiongea Kiswahili sanifu.🤣Kwahiyo Wanyamwezi hawajui kiswahili, acha kubuyanga basi na wewe huijui Tanzania.
What's the difference between muhimbili and mlongazila?Muhimbili
Mloganzila
Weill Bugando
Kcmc
Mbeya Zonal hospital
Na hawataki kukubali hilo.Wamezoea umanamba![]()
Muhimbili Upanga 1500 beds,Muhimbili mlongazila ni 1,500?
Hao walamu wangewafunza na kueneza kiswahili nchi yote ya Kenya, hapa Tanzania hakuna sehemu isiyojua Kiswahili. Asili na matumizi sahihi siyo kigezo cha kutokuwa mahiri.Sisi Wakenya hatuna tabia ya kuwabeza wasio jua Kiswahili kama nyinyi. Ninachocheka ni irony ya Mnyamwezi kumshangaa Mswahili akiongea Kiswahili sanifu.![]()