Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Well said,
Sio vita ni bidii,Hata ivyo na sisi tunapambana na yetu, Nimeona waziri wa fedha akisema tutafika huko 2050 nikashindwa kumuelewa BUT sipendi stress sikutana kuifuatilia kiundani hiyo habari.
Angalia South africa wako upper middle income kitambo na wanateseka na wealth inequality na unemployment sana...
Muhimu usimame vizuri wewe na familia yako na jamaa zako
A worthy response, mature, imeenda shule. Kudos.
 
Hawa nyangau ni washamba sana wanaabudu sana kiingereza kuliko lugha zao.View attachment 2438214
Wacha kujificha nyuma ya excuse uchwara eti "kuabudi kiingereza" kumbe wengi wenu hamuna huo uwezo, semi-illiteracy ndio sababu ya nyie kukuwa zezeta maana ni lugha mnafunzwa shule..., Tanzania sio a Francophone country, ni Swahili na Anglophone, ujinga tuondolee, baki nao kulee vijiweni mjidanganye na mazezeta wenzio., chief akiwa The best 007 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
I will repeat, Kenya has the best SGR in subsaharan Africa. FACTS.
1670404205569.png
1670404223558.png
1670404369915.png
1670404384826.png
1670404489130.png
1670404497941.png
 
Argentina ina watu 47M wana gdp ya $603B
Alafu kanchi wala sio maarufu wala nn ukitoa issue za vipaji vya mipira .

Kenya gdp $110B mnatusumbua mnajulikana duniani..Mnajulikana na nani masikini ninyi?
Eti wanajulikana kwa mbio ,kumbe mbio zenyewe wanatumia madawa ya kuongeza nguvu , rubbish 😂
 
A worthy response, mature, imeenda shule. Kudos.
Huwa unapenda comment za kukufurahisha as if ni kweli tupo level moja kwa ss, wewe jifurahishe na GDP ya mchongo sisi tunazidi kuwapiga gape, huku train ya umeme, kule BRT, huku hospitali za kimataifa pale airport za kisasa, na bado tunajenga miji mipya mingi ya kisasa. Mkija kustuka kumekucha
 
Tanzania should first try very hard to pass Uganda before muanze kufikiria kuhusu Kenya.
 
Tanzania should first try very hard to pass Uganda before muanze kufikiria kuhusu Kenya.
Tuna infrastructures za kisasa nyingi ambazo nchi maskini za EA hazina na hazitokuja kuwa nazo mpk kizazi cha wazembe kama nyie kifutike chote na watoto wenu pia wafutike ndio mtakuja kuwa nazo, sio kwa ubaya lkn
 
Back
Top Bottom