Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma educational life-chain 📚 🔗

Documentary nzuri ya namna higher quality education inavyoinua elementary education, kuna mentality huko nyuma ilijengwa ni wakenya tu ndio wanaweza kufundisha shule zetu za English medium na kuleta mafanikio kitaaluma!

Kuna picture ilikua ikiwekwa hapa na wakenya ikionesha tangazo la ajira kwa walimu Tanzania waliosomea Kenya au raia wa Kenya, niwaambie tu wakenya that dogma is no longer available in Tanzania!

Mtu kaenda Korea kuzungusha bakuli akaahidiwa ahadi hewa kama mwenzake 😂😂😂
Macron alimuambia next month electric railway inaanza ujenzi Nairobi, mpaka leo mwaka wa tatu holaaa 😅😅😅

Hot-air promises as usual!

View attachment 2431806
Fukara unasikia maumivu ukiwa upande gani wa uswazi? kulia, katikati ama kushoto? 😂 😂 😂 😂 Railway city loading.., Kenya sio Tanzania, infact France wako ready wanangoja Ruto govt wapeane go ahead.., Uhuru hakutoka bure..,
1669883228036.png

1669883236767.png

French govt wanangoja serikali ya Ruto kuwapea okay ili firms zao ziwekeze.., wako tayari kwa PPP investement..,
1669883640380.png

1669883669116.png

Mombasa Japan wameanza kazi ya Special Economic Zone.., mtangoja sana tena sana...,
 
Fukara unasikia maumivu ukiwa upande gani wa uswazi? kulia, katikati ama kushoto? 😂 😂 😂 😂 Railway city loading.., Kenya sio Tanzania, infact France wako ready wanangoja Ruto govt wapeane go ahead.., Uhuru hakutoka bure..,
View attachment 2432413
View attachment 2432414
French govt wanangoja serikali ya Ruto kuwapea okay ili firms zao ziwekeze.., wako tayari kwa PPP investement..,
View attachment 2432419
View attachment 2432420
Mombasa Japan wameanza kazi ya Special Economic Zone.., mtangoja sana tena sana...,
Ila we jamaa bhana 🤣🤣 unazungumzia vitu havipo kwa madaha mno 🤣🤣🤣 u
 
Don YF njoo unye uku.. anything in comparison outside NAIROBI.? DOM 👇
View attachment 2432138
Hii clip nenda ukatishie nayo mikwara wenzako kule vijiweni, niko na google earth 3D images, napajua kote kote.., nyie bado sana, ujinga niondolee kilaza., mko down bado, below Kenya by far!.., yaani haka kaeneo kanawapa kiwewe, jinga type 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., ndio mnatoka porini kilaza, nyie bado. fanya google earth iwe rafiki yako, uwe una scan across ulinganishe kabla ya kukurupuka.., jiondolee aibu..,
 
Ila we jamaa bhana 🤣🤣 unazungumzia vitu havipo kwa madaha mno 🤣🤣🤣 u
The point is that your idiot comrade said Uhuru got nothing from France.., wako tayari kwa projects zao zote walizo kubaliana na Uhuru., inauma najua ila mtanyooka tu..,
 
The point is that your idiot comrade said Uhuru got nothing from France.., wako tayari kwa projects zao zote walizo kubaliana na Uhuru., inauma najua ila mtanyooka tu..,
Sasa 🤣🤣 niumie kwa vitu havipo .. .?
 
Hii clip nenda ukatishie nayo mikwara wenzako kule vijiweni, niko na google earth 3D images, napajua kote kote.., nyie bado sana, ujinga niondolee kilaza., mko down bado, below Kenya by far!.., yaani haka kaeneo kanawapa kiwewe, jinga type 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., ndio mnatoka porini kilaza, nyie bado. fanya google earth iwe rafiki yako, uwe una scan across ulinganishe kabla ya kukurupuka.., jiondolee aibu..,
Ila we jamaa ni mkaidi sana 🤣🤣..sasa hata ukiwa na google earth ndio itabadili hilo eneo au.? Au kwamba hizo 3D images hazitaonyesha hilo eneo au.? 🤣🤣
 
Ila we jamaa ni mkaidi sana 🤣🤣..sasa hata ukiwa na google earth ndio itabadili hilo eneo au.? Au kwamba hizo 3D images hazitaonyesha hilo eneo au.? 🤣🤣
Zinaonyesha kote, the whole area, ndio mnaona such outside Dar unadhani Kenya ni kama Tanzania nchi ya jiji moja fukara., boss kaeni kwa kutulia mtafika siku moja..,
 
Zinaonyesha kote, the whole area, ndio mnaona such outside Dar unadhani Kenya ni kama Tanzania nchi ya jiji moja fukara., boss kaeni kwa kutulia mtafika siku moja..,
🤣🤣 Seeing is believing bro.. unataka kubishana video pia.? 👇

Can't you see.?
 
🤣🤣 Seeing is believing bro.. unataka kubishana video pia.? 👇
View attachment 2432456
Can't you see.?
Zoea hivi vitu, Tanzania bado ni geni sana.., yaani my point mko down, sio kawaida, ata in Dar.., sasa wewe fanya hima utoke maisha ya uswazi angalau u live in an organized estate.., yaani nikiangalia Dodoma.., na hako kaeneo, ratio yake vs the whole area, bado sana.., endeleeni mtafika, ushamba punguza., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
🤣🤣🤣🤣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenya
 
NJ akikua atakosa lafudhi tamu ya kiswahili cha Tz .. Diamond namkubali sana 👇
 
Do you have cities in Tanzania apart from Dar?
sijui leo mgeni wetu ras jeff kapita ako wapi..🤔

ninge wish sana aone jinsi nchi yake tanzania ilivyo piga hatua.. na kama kuna mji wowote kama huu, nje ya dar, arusha ama mwanza......

kisha awaambie watanganyika wenzake watoe mji mwingine wowote mkubwa Tz..
mfano dodoma ama mbeya..
utaona venye wataenda kimya..
kisa.. hakuna cha kuonesha..
yani ziko flat! no skyline whatsoever

Screenshot_20221201-170119_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-162331_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-162339_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-223748_Chrome.jpg
Screenshot_20220824-013739_Gallery.jpg
Screenshot_20221003-175701_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-172141_Gallery.jpg
Screenshot_20221102-001520_YouTube.jpg
Screenshot_20221003-175133_Gallery.jpg
Screenshot_20221003-172831_Earth.jpg
Screenshot_20221003-164110_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-133000_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-132934_Gallery.jpg
20221009_141345.jpg
20221009_123200.jpg
20221009_122820.jpg
20221009_121222.jpg
Screenshot_20221003-163346_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-164152_Gallery.jpg
Screenshot_20221201-164204_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-214213_Chrome.jpg
Screenshot_20220823-210620_Chrome.jpg
Screenshot_20220823-203340_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-172910_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-172519_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-172358_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-172006_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-171311_Gallery.jpg
Screenshot_20220823-171204_Gallery.jpg
Screenshot_20220810-024838_Gallery.jpg
 
🤣🤣🤣🤣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenya
Endelea kuota, utaamka tu.., Tanzania bado sana.., usijitoe ufahamu kilaza..,
 
Jpm alidissapoint wengi kwenye vitu kama huvi aliishia kuongea tu lakini akuchukua hatua thabiti kuwawajibisha wahusika
Huo ni mtazamo wako tuu kuhusu JPM, ila sisi tuliona hakuwa mchoyo, alikuwa anafungua madirisha ili nasi angalau tuweze kuangalia "kideo", jinsi nchi inavyoliwa.

Wangapi walikuwa wanajua kuhusu wizi wa mafuta kwa kuharibiwa flow meter bandarini au jinsi madini yanavyotoroshwa uwanja wa ndege? Sasa hivi unajua kinachoendelea kwenye sekta ya nishati, au kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
 
Back
Top Bottom