Ukraine ni nchi corrupt kuliko zote Ulaya, hivyo imekuwa ikitumika kama kijiwe cha kufanya madili (kuuza silaha, kutakatisha pesa, kuiba nafaka n.k). Kutokana na vikwazo umoja wa Ulaya walioiwekea Urusi, kumekuwa na mtafaruku kwenye njia zote za kiuchumi (Ulaya), ikiwa ni pamoja na uzalishaji/usafirishaji wa chakula.
Ulaya inahitaji sana nafaka ya Ukraine, hivyo inatumika gia ya kusaidia nchi za Afrika ili nafaka hiyo iweze ruhusiwa kupita (kwenye njia salama vitani) katika bahari nyeusi, kwenda Ulaya. Mwezi septemba walitumia gia hiyo hiyo kuomba kuruhusiwa kupeleka nafaka kwenye nchi maskini lakini karibu mzigo wote uliiishia Ulaya.