KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Sasa anatusaidia aje huyu dada?Nyie Wakenya tuna waambia daily kuwa nyie ni maskini wa kila kitu. anaitwa: Husina Seleman
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Sasa anatusaidia aje huyu dada?Nyie Wakenya tuna waambia daily kuwa nyie ni maskini wa kila kitu. anaitwa: Husina Seleman
Wana paved road moja tu hapo kwenye kijiji kilichochakaaJust imagine ndio 5th tier city yetu baada ya Arusha, Zanzibar City, Dar na Mwanza, kwao Eldoret ndio 5th wakati Eldoret hata hatua 2 humalizi kama Kisumu tu 😅😅😅
View attachment 2432169
🤣🤣🤣 Nilikua sijaona hilo imebidi nirudie tena kuangalia hiyo pichaWana paved road moja tu hapo kwenye kijiji kilichochakaa
Tunaongelea Tanzania vs Germany. Kenya na Nigeria zinaingilia wapi?Ukraine ambayo iko vitani lakini wana chakula cha kutosha mpaka wanagawa.
Nitajie uchumi mmoja mkubwa duniani chakula ni anasa? Ni fake economies tu za Africa nazo ni: Kenya na Nigeria.
my take:Do you have cities in Tanzania apart from Dar?
Unapokutana na watoto wakali kila kukicha stress za maisha zinapungua na kukufanya kutabasam siku nzima.
Unapokutana na watoto wakali kila kukicha stress za maisha zinapungua na kukufanya kutabasam siku nzima.



😅😅😅😅 Baada ya hiyo paved road moja kijiji chote ni slum 😂😂😂😂Wana paved road moja tu hapo kwenye kijiji kilichochakaa
hii ni sehemu camera iliweza tu ku capture..
Kumbe hata diamond anajua lafudhi ya Kenya ni mbaya, wakenya wana lafudhi mbaya mno then Nigerians (west Africans)NJ akikua atakosa lafudhi tamu ya kiswahili cha Tz .. Diamond namkubali sana 👇
View attachment 2432477
Video sijaikana, mawazo yako ndio tatizo., ushamba and ignorance, haujui lolote.., unashanga shangaa kishamba, Kenya sio size yenu bana, jikubali tu vitu vidogo visikushangaze hivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂🤣🤣🤣🤣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenya
Nunua simu ya maana kilaza, eti "nishanidwa kuifungua.." nyambaff, get a phone 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Weka tena attachment nashindwa kuifungua mkuu.
Perfectly true..., hawa watu hawana City nje ya Dar, ni vijiji kubwa.., na ushamba around them..,Eldoret can floor your second city hands down.
mji wenyewe una..
🤣🤣🤣 Utakufa kwa wivu 🤣🤣🤣Video sijaikana, mawazo yako ndio tatizo., ushamba and ignorance, haujui lolote.., unashanga shangaa kishamba, Kenya sio size yenu bana, jikubali tu vitu vidogo visikushangaze hivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣 Jamaa Wana kiswahili kibovuKumbe hata diamond anajua lafudhi ya Kenya ni mbaya, wakenya wana lafudhi mbaya mno then Nigerians (west Africans)
Watanzania tuna lafudhi nzuri mno na ndio msingi wa umaarufu wa nyimbo zetu duniani, 60% ya consumers wa bongo flava hawajui kiswahili ila melody ndio inawavutia kupenda kusikiliza!
Google neno "Anchor economy in East Africa" utapata jibu kutoka kwa bodies tofauti..., ata Kenya yenyewe haijitaji kama anchor economy, dunia inajua, liko wazi sana. mifukara wacheni kelele, kueni wapole, pengine vitukuu vyenu vitashuhudia Tz kufikia kuitwa "anchor economy".., idiots liked your post😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂Tanzania ndio anchor economy in EA kama vile Germany ilivyo kwa Eurozone.
Mimi sina wivu, napenda ukweli, porojo naumbua, wewe utaendelea kuteseka hadi basi., zoea mapema😂😂😂🤣🤣🤣 Utakufa kwa wivu 🤣🤣🤣
We are your biggest fear in EA🤣🤣 mnatuogopa kuliko ukimwi, mnahangaika kusema kila kitu ili kitu downgrade lakini vitu kwa ground ni tofauti, yo remember that Seeing is believing, huwezi ongopea mtu kwenye dunia ya Camera.. 🤣🤣Perfectly true..., hawa watu hawana City nje ya Dar, ni vijiji kubwa.., na ushamba around them..,
unajua maana ya neno "5th tier" kweli?...,Just imagine ndio 5th tier city yetu baada ya Arusha, Zanzibar City, Dar na Mwanza, kwao Eldoret ndio 5th wakati Eldoret hata hatua 2 humalizi kama Kisumu tu 😅😅😅
View attachment 2432169