Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don YF njoo unye uku.. anything in comparison outside NAIROBI.? DOM 👇
View attachment 2432138
Just imagine ndio 5th tier city yetu baada ya Arusha, Zanzibar City, Dar na Mwanza, kwao Eldoret ndio 5th wakati Eldoret hata hatua 2 humalizi kama Kisumu tu 😅😅😅

images - 2022-12-01T083441.749.jpeg
 
Tanzania itakuwa world giant supplier wa helium Duniani..

New commercial Discovery at Nyasa/Kyela Mbeya go be published next year besides that of Rukwa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-061809.png
    Screenshot_20221201-061809.png
    105.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221201-061925.png
    Screenshot_20221201-061925.png
    68.7 KB · Views: 9
Mwanza wamepata masterplan nzuri sana ya waterfront yao, Mwanza wanaungwa na SGR hivi karibuni wanatakiwa wachukue hiyo fursa haraka sababu watakuwapo watu watakojisikia tu kupanda SGR kuelekea Mwanza for leasure, Mwanza wajipange na hili sababu utalii utakua mkubwa sana kutokana na urahisi wa usafiri

Nimependa waterfront yao itazingatia sana utalii wa vyakula kama mapishi ya Sato na Sangara kama Forodhan Zanzibar na michezo ya kwenye maji ikiwemo kutengeneza fukwe kubwa ya hectares 9


Isiishie kwenye makaratasi tu.
 
Kwa hiyo shida yako ni jinsi anavyo-address watu? Kwa hiyo watu wanaozungumza Kwa namna fulani wote ni mashoga? Kama nilivyosema mwanzo, sexuality ya mtu ni yake na kila mtu anajifahamu mwenyewe. Hizi generalizations zako hazina mantiki na hazina mashiko. Unamuita Shoga kwasababu kwenye jamii nyingi za Kiafrika mashoga ni watu wanaodharauliwa na wanaopuuzwa na kutengwa kwasababu wako tofauti na jinsi jamii ilivyozoea.

And by the way, I have never claimed to be a saint. As a matter of fact, I have spoken against saints many times before. Sijawahi kuongea vibaya against marginalized groups. Kama vendettas na baadhi ya Wakenya Mbona nilikuwa nazo nyingi tu, lakini niliona hakuna haja ya kubishana na wakenya huku mentality ya watanzania wenzangu ndiyo Ina tatizo.

Lakini sijalenga watanzania kwenye reply yangu. Na hakuna sehemu nimeandika “watanzania.” Na sijatetea wakenya pia. Nimetetea UTU WA MTU, bila kujali nationality.
Wewe una mambo ya kike sn yn tangu siku ile watu tumekuponda kuhusu kutetea wazazi kurudi shule na cku ile JPM kumtimua daktari mpumbavu tukakueleza ukweli basi ndiyo umesusa mpk leo. Mambo ya kike hayo kuhifadhi hifadhi vitu rohoni, mtoto wa kiume ukielezwa ukweli unakubali zen unasahau una move on, wewe umeyaweka rohoni tu badilika wewe.
 
Technically yes but on paper we have our own paper tiger
Germany doesn't come with these kind of excuses. You can't walk with Lions when you still have the excuses of mongrels. That's why you can't be Germany.🚮🚮
 
Back
Top Bottom