Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa sijakuelewa, kwahiyo nani anayedanganya toto hapa, na kwa lengo gani hasa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukraine ni nchi corrupt kuliko zote Ulaya, hivyo imekuwa ikitumika kama kijiwe cha kufanya madili (kuuza silaha, kutakatisha pesa, kuiba nafaka n.k). Kutokana na vikwazo umoja wa Ulaya walioiwekea Urusi, kumekuwa na mtafaruku kwenye njia zote za kiuchumi (Ulaya), ikiwa ni pamoja na uzalishaji/usafirishaji wa chakula.

Ulaya inahitaji sana nafaka ya Ukraine, hivyo inatumika gia ya kusaidia nchi za Afrika ili nafaka hiyo iweze ruhusiwa kupita (kwenye njia salama vitani) katika bahari nyeusi, kwenda Ulaya. Mwezi septemba walitumia gia hiyo hiyo kuomba kuruhusiwa kupeleka nafaka kwenye nchi maskini lakini karibu mzigo wote uliiishia Ulaya.
 
Mpaka wa Tanzania na DRC una trade volume kubwa kuliko the rest of Tanzania Kenya cross border trading entries

Yaani tunauza zaidi kwenye mpaka mmoja tu wa DRC through lake Tanganyika kuliko tunavyouza Kenya through our 4major boarder entries bila kuhusisha Tunduma ambao ndio mpaka mkubwa wa Tanzania-DRC business border!

View attachment 2427223
Mkuu mfano mdogo fanya reasearch ya mipaka ya tuliopakana na kunyaland uone trucks zinazoingia katika nchi hizi 2 za kutokq wapi ni nyingi,vile vile wananchi wa huko mipakani ni wa nchi gani wanategemea zaidi nchi jirani kihuduma za kijamii basi utapata jibu,kitu kibaya TZ atuishi kwa data
 

Centum Investments sinks deeper in the red with $10m half-year loss​



TUESDAY NOVEMBER 29 2022​

Centum CEO James Mworia

Centum CEO James Mworia who says rising interest rates led to an increase in borrowing costs and slower economic activity that in turn resulted in a reduction in turnover of the group’s portfolio companies. PHOTO | FILE | NMG
ADVERTISEMENT

General Image

By JAMES ANYANZWA
More by this Author

Centum Investments is contending with losses after years of massive capital investments and mounting debt took a heavy toll on its finances, dimming earning prospects for shareholders.

The group made a loss of Ksh1.29 billion ($10.57 million) in the six months to September 30, 2022 from Ksh662 million ($5.42 million) in the same period last year.

All of the group’s trading, investments and subsidiary operations, save financial services, made losses.

The regional company which is listed on the Nairobi Securities Exchange (NSE) attributed its poor performance to the volatility in the forex market.

According to the unaudited financial statements released Tuesday, the group’s consolidated net loss increased by 95 percent to Ksh1.29 billion ($10.57 million) from Ksh662 million ($5.42 million).

Weakening shilling​

This was on account of the impact of the depreciation of the Kenyan shilling against the US Dollar in respect to the US Dollar denominated liabilities in the group.

“This unrealised value movement accounted for 96 percent of the decline in after tax performance,” said James Mworia, the group’s chief executive officer.

“The weakening shilling resulted in unrealised forex and currency translation losses being recognised by the group during the period to September 30 2022.”

According to Mr Mworia, the rising interest rates led to an increase in borrowing costs and slower economic activity that in turn resulted in a reduction in turnover of the group’s portfolio companies.

The group’s trading business and real estate operations generated losses of Ksh22.59 million ($184,426.22) and Ksh267.99 million ($2.19 million) respectively while the investment operations posted a loss of Ksh344.74 million ($2.82 million) during the period under review.

The Two Rivers Investment operations increased its losses to Ksh984.47 million ($8.06 million) from Ksh342.37 million ($2.8 million).

Share buyback​

The company’s board has also approved a share buyback plan that will see the listed firm purchase up to 10 percent of its issued and paid up share capital subject to shareholder and regulatory approvals.

The Company is majority (30.94 percent) owned by the estate of the late businessman Chris Kirubi and the Kenya Development Corporation (22.97 percent)

In June 2019, Centum suspended further capital expenditure and put key investments on sale as part of a plan to pay off mounting debts amid a weakening cash flow position and deteriorating debt-coverage ratio.

Over a five-year period (2015-2019) the group’s debt had more than doubled to Ksh16.14 billion ($132.29 million) from Ksh7.56 billion ($61.96 million) driven by a number of mega projects that the firm was undertaking.

However, the debt has declined to as low as Ksh4.27 billion ($35 million) following a series of repayments helped by proceeds from disposal of shares in private equity investments.

In 2019 Centum completed the sale of beverages companies (Almasi Beverages, Nairobi Bottlers and King Beverage Limited) realising total sales proceeds of Ksh19.6 billion ($160.65 million).

In September this year, the company announced that it had sold 83.4 percent of the shares it held in Sidian Bank to a Nigerian lender — Access Bank Plc — in a transaction valued at Ksh4.3 billion ($35.24 million).

Part of the proceeds from these transactions are for reducing the group’s debt burden.

Centum adopted a five-year (2019-2023) plan dubbed ‘Centum’s 4.0 Strategy’ in which it seeks to scale down investments in real estate to between 45 percent and 55 percent from 64 per cent of the total assets and reduce investment in marketable securities to between 10 percent and 20 percent from 16 percent of the total assets.


MY TAKE
Tulikuwa tunatambiwa hawa jamaa wanamiliki uchumi wa Tanzania!

CC: Teargass, NairobiWalker
 
Wadau sikuhiz ndo mmeacha kusikiliza hotuba za mama? Hii habar tulitakiwa kuijua tokea jana alipokuwa anaongea ☺

Mimi binafsi tokea enzi za JPM sio muumini wa kumsikiliza Rais Kila siku Huwa naamini Rais anatakiwa anapotoka kuongea jambo livute attention lakini mfumo ulioanzia kwa JPM wa Rais kuongea Kila siku umefanya watu waone hotuba za Rais kama stori za Kila siku.Kuna siku nilichukia sana Makama wa Rais alikua akihutubia mambo ya mwenge Njombe hapo Rais akaanza kuapisha watu Dodoma TBC wakahamia Dodoma.Nilichukizwa sana na lile tukio.
 
Mimi binafsi tokea enzi za JPM sio muumini wa kumsikiliza Rais Kila siku Huwa naamini Rais anatakwa anapotoka kuongea jambo livute attention lakini mfumo ulioanzia kwa JPM wa Rais kuongea Kila siku umefamya watu waone hotuba za Rais kama stori za Kila siku.Kuna siku nilichukia sana Makama wa Rais alikua akihutubia mambo ya mwenge Njombe hapo Rais akaanza kuapisha watu Dodoma TBC wakahamia Dodoma.Nilichukizwa sana na lile tukio.
Huo ni mtazamo wako tuu kuhusu JPM, ila sisi tuliona hakuwa mchoyo, alikuwa anafungua madirisha ili nasi angalau tuweze kuangalia "kideo", jinsi nchi inavyoliwa.

Wangapi walikuwa wanajua kuhusu wizi wa mafuta kwa kuharibiwa flow meter bandarini au jinsi madini yanavyotoroshwa uwanja wa ndege? Sasa hivi unajua kinachoendelea kwenye sekta ya nishati, au kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
 
Ona unavyotapatapa Kama unataka kutaga..

Si ukitaka uthibiyisho,nimekuletea Sasa kwamba Sumbawanga hakunuki na Hakuna uswahili Kama wa Dar..

Kama huna bando sema nikutumie ufungue video nyingine hii hapa
Wewe ni definition ya mtu mjinga,
Kwahyo point yako hasa ni ipi? Hapo Sumbawanga mjini hapafikii hata Magomeni...Kwanza nimetoka wapi kubishana na wewe
 
Screenshot_20221130-101523_Chrome.jpg
nani kasema hapa ni kwa 'Mkahawani' (sijui nyinyi mnaita eti 'Mgahawani' sijui nn)..... ok.

but my sweethrt, this is just inside a normal supermarket in kenya dear...!!


nb: in our normal average size supermarkets.. we have a 'full bakery section' making all sorts of cookies, breads, cakes, doughnuts 🍩 etc etc

i recently realized thru' research tht, this concept of having a 'Full Bakery Section' inside a supermarket and a 'Full Eatery Section' [Hotel] inside a normal size supermarket... is a 'concept' only reserved for a more sophisticated emerging economies like south africa, egypt or kenya....

and not the level of Least-Developed-Countries like Tanzania or Burundi for instance... 🤔🤔


still fully inside a Supermarket here👇🏽, after doing shopping inside.. sasa ni kupigia mwili pole.. mle mle ndani tu, sio 'Mgahawani' ya nje..
truely kenya is among the handful few more sophisticated and technologicaly advanced economies in africa..

Screenshot_20221130-091939_Gallery.jpg
20220907_171320.jpg
20220907_171312.jpg
20220907_170530.jpg
Screenshot_20221130-100719_Chrome.jpg
 
nani kasema hapa ni kwa 'Mkahawa' (sijui nyinyi mnaita eti 'Mgahawa' sijui nn)..... ok.

but my sweethrt, this is just inside a normal supermarket in kenya dear...!!


nb: in our normal average size supermarkets.. we have a 'full bakery section' making all sorts of cookies, breads, cakes, doughnuts 🍩 etc etc

i recently realized thru' research tht, this concept of having a 'Full Bakery Section' inside a supermarket and a 'Full Eatery Section' [Hotel] inside a normal size supermarket... as in, tht 'concepts is only reserved for a more sophisticated emerging economies like south africa, egypt, and kenya....

and not the level of Least-Developed-Countries like Tanzania or Burundi for instance... 🤔🤔


still fully inside a Supermarket here👇🏽, after doing shopping inside.. sasa ni kupigia mwili pole.. mle mle ndani tu, sio 'Mgahawani' ya nje..
truely kenya is among the few more sophisticated and technologicaly advanced economies in africa..

View attachment 2431366View attachment 2431367View attachment 2431368View attachment 2431369View attachment 2431396
What is your blood pressure?
 
What is your blood pressure?
si u still remember around august we discussed here in detail on matters related to high blood pressure.
and that Normal or Ideal Range fall between 90/60 to 120/80...

till i had to just check my levels at random..
but i've always been ok, ever since i was born, thank u lord and eimen in jesus name🙏🏽... (though am very much aware tht my lifestyle eating habits has not been the recommended ideal healthy one)

Riswah!..
hio pepo la magonjwa ya wazee ishindwe katika jina la yesu.... eimen!

this were my findings at random then
Screenshot_20220729-002308_Photos.jpg
 
Back
Top Bottom