Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Ngoja nikae kimyaKona za Nyang'olo Barabara ya Iringa- Dodoma.
What a view 👇
Ngoja nikae kimyaKona za Nyang'olo Barabara ya Iringa- Dodoma.
What a view 👇
At long last their leaders have decided to tell them the truth😂😂😂. Trains za Tanzania ni za kawaidi tu and not high speed trains vile Hawa wajinga wamekuwa wakikazana mayo hapa😂😂😂
Unasema?👇Ngoja nikae kimya
Bado wanangoja high speed trains😂😂.Geza Ulole bado mnaletewa Bureti traini ama vipi? 🤣 🤣 🤣
Kenya hata Somalia wakita wanaisaidia tu 😅😅😅Dah nimecheka sana yani wanategemea mgonjwa/Ukraine aache uji ili wanywe too bad![]()
Madhara yake si unajua,rehani ya bandari yetu ya Mombasa,na kulipa tumeshidwa .Yani 180km sgr between dar-moro imelemea serikali ya Tanzania kabisa for 6 years? Kenya ilijenga 600km na miaka 3 pekee 2014-2017
Daraja la tatu Teargass sijui daraja la kwanza litakuaje???😃😃 unaumia sana najua
View attachment 2429059
Kenya is not Tanzania. Hatujaishindwa kulipa deni.Madhara yake si unajua,rehani ya bandari yetu ya Mombasa,na kulipa tumeshidwa .
You are really finding it very hard to defend your ugly coaches😂😂😂
Mradi ulianza 2017 alafu ni financed by GoT,kunakua na delays katika malipo Nk...Angalia phase II ilivyokimbia haraka, Lakini kwa sasa it's almost done...ukiona hadi trains zimeanza kufika ujue k2 kipo tayari kwa matumizi...Yani 180km sgr between dar-moro imelemea serikali ya Tanzania kabisa for 6 years? Kenya ilijenga 600km na miaka 3 pekee 2014-2017
Msidanganywe😂😂😂🤣🤣Hapa ndio train yetu itaenda mpaka 250kph sababu njia imenyooka na haina kona kona kama kipande cha Morogoro chenye milima na mabonde mengi
Nioneshe ni wapi hapa kwenye 1st class yenu hiyo provision inapatikana 😅😅You are really finding it very hard to defend your ugly coaches😂😂😂
Kitu hiki hapa Wacha janja janja nyingiHatuezifanana juu tumewashinda 10 times. You tried to copy the Mariakani station lakini your final product inafanana na Muthurwa market
Mariakani
View attachment 2428458View attachment 2428459
Morogoro Copycat.
View attachment 2428463
Ati financed by who? Your SGR was full loan.🤣Mradi ulianza 2017 alafu ni financed by GoT,kunakua na delays katika malipo Nk...Angalia phase II ilivyokimbia haraka, Lakini kwa sasa it's almost done...ukiona hadi trains zimeanza kufika ujue k2 kipo tayari kwa matumizi...
Defend this 😂😂😂Nioneshe ni wapi hapa kwenye 1st class yenu hiyo provision inapatikana 😅😅
View attachment 2429128
Look at how that boarding and lightening shade Iko very short. That should just tell you how your trains will be short😂😂. Compare it with this.Kitu hiki hapa Wacha janja janja nyingiView attachment 2429129
Hiyo sio expresswya bado kuna junctions na kibrt uchwara katikati🤣🤣 slowing doiwn danganyika economyKutoka Airport hakuna shida tushajenga flyover Tazara Junction na ingine chang'ombe junction...kutoka CBD kwenda Airport sahv ndani ya nusu Saa ushafika
View attachment 2428927View attachment 2428928
Uongo hakuna mradi wa sgr uko financed na GOK, nyinyi mmekopa pesa za kujenga SGR na hutaki kusema. Stupid maggot!Mradi ulianza 2017 alafu ni financed by GoT,kunakua na delays katika malipo Nk...Angalia phase II ilivyokimbia haraka, Lakini kwa sasa it's almost done...ukiona hadi trains zimeanza kufika ujue k2 kipo tayari kwa matumizi...