Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Hii kampuni nayo imekaa ya briefcase company mbona haina hata website?
MT Sangara imepanda kwenye deck kwenye budget ya mwaka gani?Magufuli hakutoa fedha imetolewa budget hii yaani 2022-2023!
Eti huyo jamaa alieamdika hiyo tweet anashangaa nchi wanayoidharau haina shida ya chakula. Mjinga sana boya yule.Njaa!
Baada ya Magufuli kuvuta!MT Sangara imepanda kwenye deck kwenye budget ya mwaka gani?
Ujenzi umeanza kwenye budget ya Bunge la awamu ya 5Baada ya Magufuli kuvuta!
BTW, are you aware that Lake Tanganyika contains 60% of all Africa's freshwater?Yaani mimi huwa nashangaa sana vile tunalaza damu, hakuna hata kilimo cha umwagiliaji cha maana kwenye haya maziwa yote seriously? Hakuna hata uvuvi wa Kisasa wenye tija, hakuna miundombinu ya utalii, hakuna biashara:. Yaani kama hili ziwa Tanganyika lipo tu na linakauka kwa Global warming , wenyeji kazi yao kubwa ni kufanya matambiko tu kwenye hilo ziwa
Eti huyo jamaa alieamdika hiyo tweet anashangaa nchi wanayoidharau haina shida ya chakula. Mjinga sana boya yule.
Halafu anaandika Africans vote on tribal lines, anafikiri waafrika wote ni wajinga kama yeye na wenzake! Kaniudhi basi tu.
Kutoka Airport hakuna shida tushajenga flyover Tazara Junction na ingine chang'ombe junction...kutoka CBD kwenda Airport sahv ndani ya nusu Saa ushafikaNyi endeleeni kucopy Kenya, heri hiyo expressway ingetoka airport hadi cbd towards bagamoyo road, could have made economic sense na ingepata clients ...msishindane na ndovu kunya, naona sgr tushawaeka chini mkijaribu kutucopy
Dah nimecheka sana yani wanategemea mgonjwa/Ukraine aache uji ili wanywe too bad



Ona unavotia huruma sasa 🤣🤣🤣BRT loan
SGR loan
Meli loan
Port loan
Dam loan
Bridges loan
Maswali mengine kama Shule hazipo siku hizi😂😂Mi naendesha gari langu brt inanisaidia nini?