Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Ikienda Scotland na kurudi si 1000km, ikifanya safari tatu ni 1500km,Virgin safari ndefu ni Scotland tuu na hapo ni less than 500km hiyo bado ni short haul. Dar Kigoma ni 1600km hiyo ni long haul ili upate faida inabidi uwe na train ndefu kuliko EMU inayobeba abiria wengi na hapa ndio loco pulled trains inapohitajika na ndio dhumuni la kuingiza hizo behewa unazoona zinashushwa port.