Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
“Ya Kisasa” Ndio hapi hayo?
What defines masafa marefu na mafupi?
Kwa hiyo haya mabehewa yalioletwa ni obsolete? If so, why purchase them in the first place?
Kwa mimi ninavyojua na kwa nilivyoona, haya ambayo kadogosa anaita masafa marefu ni zile treni zenye limited stops.
Kwa mfano unaenda dar - Dom inaweza simama moro, kilosa kisha Dom.
EMU zinatumika kwenye safari za kusimamasimama kila kituo, yaani fupifupi.
Lakini hata hivyo huko kwa wenzetu treni zao zina muundo mzuri, mfano virgin train ya UK inapiga safari ndefu pia


