babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Behewa zetu ni high speed na zina HVAC system. Behewa yenu ikiwekwa kwenye sgr Tanzania ikipelekewa moto wa 160kph lazima vyuma huko chini kwenye matairi viachie maana imekuwa designed for sluggish movement.
Ukiona anakaza fuzu hataki kuelewa maelezo mnayompa, yaliyotolewa na TRC we jua tu kinachomuendesha ni wivu.
Ana ignore maelezo kuwa hizo ni za daraja la 3 bado daraja la 1 na 2 bado mabehewa ya double deka na mabehewa yanatengenezwa Kwenye nchi tofauti tofauti! Halafu bado mnapoteza muda wenu kumjibu!

