muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Kwanini tukatae! Hili ni jambo zuri!Tanzania ikatae kuungana na Kunyaland ku host Afcon 2027 Kama Kunyaland wanavyotaka [emoji116]
Tuwasaidie hawa nyang'au!
Kwanini tukatae! Hili ni jambo zuri!Tanzania ikatae kuungana na Kunyaland ku host Afcon 2027 Kama Kunyaland wanavyotaka [emoji116]
Kama Miami!Hapa hakuna chaajabu cha kuona hapo Nairobi mzee.. DAR [emoji116] View attachment 2423313
Najua unaumia hata kama hutaki kusema. More of JKIA Terminal 1B.Bird eye view [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2423209
Better than your dull JNIA.Kama kids playing area ndani ya McDonald's! Mirangi ya hovyo hovyo tu!
Hii restaurant ya JNIA 🤣🤣🤣 haina tofauti na kibandaski. Wabongo hawakuangi creative hata kidogo.Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.
View attachment 2330932
View attachment 2330934
Watangoja miaka 25 mbele..., 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uwanja with 8m PAS yearly unadhani ni kitu kubwa kujaza Ivo?Ulisoma comments za wakunya wenzio au unashare link tu. Hadi nimefumba macho kwa aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakitengana basi Zanzibar watachukua Mombasa yao, lamu, malindi. Coastal yote ya Kenya. Mtakubali kurudisha?Zanzibar watengane na Danganyika tu
View attachment 2423458![]()
Tanzania airport operators decry job losses over Dubai deal
The stand-off is expected to dominate politics in the island.www.the-star.co.ke
Hii hautaki.? 👇i swear if vetting was conducted today by knightfrank, or pricewaterhouse coopers.. i swear nairobi would undress dar-es-saalam pants all the way down down...... 🧘🏾♀️
nbiView attachment 2423427
darView attachment 2423428