Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna siku nilisema humu tujitutumue sgr ifike bkb kwa ajili ya kumvuta mganda aachane na kenya au tugawane mizigo.
Jamaa alipinga vibaya mnoo.

Baada ya miaka kadhaa nikaona anatoa wazo lile lile, nilicheka sana nikamkumbusha.

Kuna hulka ya kuchukia mikoa ya kanda ya ziwa, sisi wa kanda ya ziwa mara nyingi huwa hatuna nongwa miradi ikifanyika sehemu zingine.
East Africa Community ilipoanza tena, kuna baadhi ya wanajumuia walipendekeza makao makuu yawe mza au bkb,
Wale wenzetu wakasema bora hio Community isiwepo kuliko makao makuu kuondolewa kwao.

Mimi ninafikiri wafanye marekebisho ila hata Wakijenga mpya sio mbaya.
Wacha tu miradi ijengwe opportunities zitakuja baadae.

Nina uhakika dodoma Airport na ile ring road hazina tija sana kwa sasa ila acha zijengwe so long as ni Tz.
We hujamsoma vizuri saikolojia yake alitaka wazo kama hilo alitoe yeye.
 
Kwani Magufuli ndio amedesign hiyo ikulu? mbona kila kitu mnamsingizia yeye?
Vipi machinjio, Meli kubwa Mwanza, SGR amedesign yeye pia, right?

Chuki chuki tu hapa ndio inamuongoza mtu anachukia kabila zote za Kanda ya Nyanza. Watu wana matatizo mengi vichwani wakati mwingine inabidi upige kimya tu.
 
Sidhani Kama katiba ndio ufumbuzi, tatizo kubwa ni upinzani dhahifu, mbona alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa kinyume na matakwa ya katiba lakini hakuna aliyethubutu kufanya lolote?, Katiba Haina uwezo wa kujisimamia yenyewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watu wenyewe wabadilike kwanza ndio wataweza kuendana na matakwa ya katiba maana watatii sheria, kanuni na miongozo.

Kwenye katiba ya sasa hivi imekataza mambo mengi kama vile wizi, ufisadi na kujilimbikizia mali za umma,lakini watu wanapiga kama vile hakuna sheria.

Tume ya maadili ya viongozi huwa inawataka wataje mali zao, je huwa zinatajwa zote? Zikizidi huwa wanachukuliwa hatua gani za kisheria?

Katiba mpya haiwezi kutatua changamoto zinazotukabili kama watanzania wenyewe hatutabadilika. Kenya wana katiba mpya lakini hakuna mabadiliko yoyote wenye pesa na maisha mazuri ni familia zile zile.

Naunga hoja wazo lako mkuu
 
Sidhani Kama katiba ndio ufumbuzi, tatizo kubwa ni upinzani dhahifu, mbona alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa kinyume na matakwa ya katiba lakini hakuna aliyethubutu kufanya lolote?, Katiba Haina uwezo wa kujisimamia yenyewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa katiba si ndiyo imempa mamlaka ya kufanya atakavyo kwa kumlundikia madaraka mengi Raisi. Imagine unacheza na timu pinzani lakini referee unachagua wewe na rules za mchezo unaweka wewe unataka timu pinzani ishinde vipi na hata ikishinda refa anakataa goli hutaki VAR.
 
Why people from Botswana, Mauritius, Namibia, Sychelles, Tanzania, Morroco, South Africa, Egypt and Angola are not leaving their countries in big numbers, only Kenya, Nigeria, Ethiopia, DR Congo, Somalia, and alike do?, Can you see any similarities among these two groups?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Failed states
 
A life of eating chameleons, grasshoppers and grass like a goat is not a life worth living. When a glorious chance of leaving the country presents itself, hawawezi kuichezea.
Chance kama hii ikitokea hapo JKIA lazima udandie ndege kwa vyovyote vile hata ukipata nafasi kwenye wheel hold bora ukafie ulaya kuliko kwenye failed state. Nadhani huko nyuma tulishaona mtu akidondokea London.
 
Ila TANESCO jana walituletea umeme kipindi cha pili dakika ya 50,leo wameukata asubuhi na kurudishwa usiku saa 3 mechi ikiwa imeisha. Kesho hatujui wanakata saa ngapi na kurudishwa saa ngapi.

Chonde chonde TANESCO mpeni tiketi yake aende Qatar akaangalie mechi mkata umeme lasivyo mwezi huu utakuwa mbaya kwetu...!!
 
Sasa katiba si ndiyo imempa mamlaka ya kufanya atakavyo kwa kumlundikia madaraka mengi Raisi. Imagine unacheza na timu pinzani lakini referee unachagua wewe na rules za mchezo unaweka wewe unataka timu pinzani ishinde vipi na hata ikishinda refa anakataa goli hutaki VAR.
Mkuu, katiba imeruhusu mikutano ya vyama vya siasa, lakini rais amekataza kwa kutumia mabavu yake ya Dola, je hiyo katiba mpya itawezaje kumzuia rais asiweze kuivunja na kufanya atakalo?.

Hivi Biblia na Quran vinawezaje kuzuia sisi binadamu kutenda Yale ambayo vimeyakataza?. Zamani ilikua Mungu anatoa adhabu za papo kwa papo kwa yeyote aliyevunja maagizo yake, tangu alipoamua kuacha kufanya hivyo na kutegemea vitabu vyake ndio vifanye hiyo kazi, unaona jinsi tunavyovidharau?

Kenya tangu waandike katiba mpya, rushwa, Nepotism, usiri ktk kuingia mikataba ya serikali ndiyo imezidi zaidi, Kenya imeingia kwenye hali ngumu ya kiuchumi, kiusalama na kisheria zaidi kuliko ilivyokua kabla ya katiba mpya.

Mkuu Katiba ni maandishi tu, hayana uwezo wa kumzuia rais na viongozi wengine kufanya watakavyo Kama hakuna "check and balances". Upinzani wenye nguvu ndio muhimu ktk kusimamia viongozi wasijaribu kuivunja katiba ya nchi, Upinzani Tanzania ni dhahifu hawajitambui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila TANESCO jana walituletea umeme kipindi cha pili dakika ya 50,leo wameukata asubuhi na kurudishwa usiku saa 3 mechi ikiwa imeisha. Kesho hatujui wanakata saa ngapi na kurudishwa saa ngapi.

Chonde chonde TANESCO mpeni tiketi yake aende Qatar akaangalie mechi mkata umeme lasivyo mwezi huu utakuwa mbaya kwetu...!!
Usijali mkuu😂... all in all tukutane 2025.
Kuna watu saiz hawaelewi na hawataki kuelewa ila 2025 wataelewa tu.
Na hii sector ya umeme ambapo kuna 'obama wa bongo' ndo penyewe hasa
 
Mkuu, katiba imeruhusu mikutano ya vyama vya siasa, lakini rais amekataza kwa kutumia mabavu yake ya Dola, je hiyo katiba mpya itawezaje kumzuia rais asiweze kuivunja na kufanya atakalo?.

Hivi Biblia na Quran vinawezaje kuzuia sisi binadamu kutenda Yale ambayo vimeyakataza?. Zamani ilikua Mungu anatoa adhabu za papo kwa papo kwa yeyote aliyevunja maagizo yake, tangu alipoamua kuacha kufanya hivyo na kutegemea vitabu vyake ndio vifanye hiyo kazi, unaona jinsi tunavyovidharau?

Kenya tangu waandike katiba mpya, rushwa, Nepotism, usiri ktk kuingia mikataba ya serikali ndiyo imezidi zaidi, Kenya imeingia kwenye hali ngumu ya kiuchumi, kiusalama na kisheria zaidi kuliko ilivyokua kabla ya katiba mpya.

Mkuu Katiba ni maandishi tu, hayana uwezo wa kumzuia rais na viongozi wengine kufanya watakavyo Kama hakuna "check and balances". Upinzani wenye nguvu ndio muhimu ktk kusimamia viongozi wasijaribu kuivunja katiba ya nchi, Upinzani Tanzania ni dhahifu hawajitambui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Katiba hiyo hiyo inayoruhusu mikutano ya kisiasa ndiyo inayompa Raisi madaraka ya kuikiuka kifungu hichohicho cha katiba kwa matamko rahisi rahisi tuu. Kwa kifupi katiba yetu inaji contradict sehemu nyingi tuu.
 
Mkuu, katiba imeruhusu mikutano ya vyama vya siasa, lakini rais amekataza kwa kutumia mabavu yake ya Dola, je hiyo katiba mpya itawezaje kumzuia rais asiweze kuivunja na kufanya atakalo?.

Hivi Biblia na Quran vinawezaje kuzuia sisi binadamu kutenda Yale ambayo vimeyakataza?. Zamani ilikua Mungu anatoa adhabu za papo kwa papo kwa yeyote aliyevunja maagizo yake, tangu alipoamua kuacha kufanya hivyo na kutegemea vitabu vyake ndio vifanye hiyo kazi, unaona jinsi tunavyovidharau?

Kenya tangu waandike katiba mpya, rushwa, Nepotism, usiri ktk kuingia mikataba ya serikali ndiyo imezidi zaidi, Kenya imeingia kwenye hali ngumu ya kiuchumi, kiusalama na kisheria zaidi kuliko ilivyokua kabla ya katiba mpya.

Mkuu Katiba ni maandishi tu, hayana uwezo wa kumzuia rais na viongozi wengine kufanya watakavyo Kama hakuna "check and balances". Upinzani wenye nguvu ndio muhimu ktk kusimamia viongozi wasijaribu kuivunja katiba ya nchi, Upinzani Tanzania ni dhahifu hawajitambui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukiangalia US katiba yao imeanisha mipaka baina ya establishment na the Presidency. Huku kwetu iko grey area between the two, the president ndio kila kitu hata akitaka mke wako utamtoa tuu.

Labda nikupe uhalisia ambao watz wengi hawajui. The president is part of Parliament wielding 50% power. No bill can be made into law kama president hajaridhia, pia the president ndie head wa executive, ukija kwenye judiciary president ana appoint judges. Hii mihimili mitatu inapaswa kuwa independent kwa kusimamia maslahi mapana ya taifa lakini kila muhimili kuna mkono wa Rais sasa balances and checks ziatokea wapi kwa hali kama hii. Tutaburuzwa tuu mpaka kamasi zitutoke.
 
Back
Top Bottom