Ukiangalia US katiba yao imeanisha mipaka baina ya establishment na the Presidency. Huku kwetu iko grey area between the two, the president ndio kila kitu hata akitaka mke wako utamtoa tuu.
Labda nikupe uhalisia ambao watz wengi hawajui. The president is part of Parliament wielding 50% power. No bill can be made into law kama president hajaridhia, pia the president ndie head wa executive, ukija kwenye judiciary president ana appoint judges. Hii mihimili mitatu inapaswa kuwa independent kwa kusimamia maslahi mapana ya taifa lakini kila muhimili kuna mkono wa Rais sasa balances and checks ziatokea wapi kwa hali kama hii. Tutaburuzwa tuu mpaka kamasi zitutoke.