Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is slum CBD kwa ground in August 2022.., vs Nairobi old CBD kwa ground(2021)..,

Dar is Mombasa tofauti skyscraper chache na BRT etc (Mombasa kwa ground in 2020 minus(bila) Nyali, Tudor, Bamburi etc)..,


Nairobi City.., 2021 far better than Dar 2022!!
 
Yaani westlands beats the best of Dar es salaam maana zaidi ya hapa 👆 👆 nothing substantial to show.., 😜😂😂😂😂
1661146588222.png
 
Hiyo Airport yetu mpya kwa maoni yangu kama wangeweka Migahawa kama ile ya Airport ya zamani mahali ambapo unaweza kukaa kupata kahawa au kula chochote huku ukisubiri mgeni ingekuwa poa sana, mara ya mwisho nilikuwa hapo kusubiri mgeni aidha utoke nje au ukae kwenye mabenchi ile ya zamani nilizoea kwenda flamingo au kununua kitu madukani kuvuta muda, lkn ni nionavyo mimi inawezekana wengi haliwasumbui hilo!
Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.

7a0e427e686774ecbd8790be2c8ec7ac.jpeg


DAR_Covid_5-984x554.jpg
 
Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.

View attachment 2330932

View attachment 2330934

Hiyo poa sana, imekuwa muda tangia nilifike hapo, nilifika wakati haina muda mrefu tangia kufunguliwa nafikiri walikuwa bado wako kazini, poa sana!
 
Ile siku international organizations zitasema kuna slums Dar uje tuongee, yani ma slums yaonekane ka Nairobi yasionekane Dar ulisikia wapi, najua unaumia sn mpk unaweka picha za mawinguni ili kuweka slums Dar lkn wapii
 
Ona mm naweka picha za chini hizi hapa zinaonesha ma slums wazi wazi, kwnn wewe unaweka picha za mawinguni, zoom kama mm tuone hizo slums, ona picha za chini hizi hapa wazi wazi kabisa
tapatalk_1603541676992.jpg
Screenshot_2019-12-13-18-15-58.jpg
tapatalk_1599415288159.jpg
tapatalk_1597789156662.jpg
tapatalk_-988065614_512x352.jpg
tapatalk_-1826701153_350x600.jpg
 
Inauma sana! sura ya jiji 80%.., mwanzilishi wa google earth abarikiwe sana! waongo na wakorofi tunawaumbua mchana kweupe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Picha tatu za mwanzo ni za mawinguni, picha ya nne haina shida yoyote ni bati tu zina kutu, picha zinazofuata ni za 90s hakuna hayo maeneo kwa ss yashavunjwa ndiyo maana Google hawaoni Slums Tz, picha ya mwisho pia ya mawinguni, mm naweza kukuletea picha za leo leo zenye ma slums wewe huna picha yoyote recently zaidi ya picha za 90s, msifosi tufanane
 
Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.

View attachment 2330932

View attachment 2330934
Yaani JNIA iko na launge kienyeji sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., nikisema sisi sio wenzenu mnanuna., ndio mnatoka porini kwa vile hii imefunguliwa majuzi tu kulingana na kauli yako, haikuwepo😂😂😂😂😂😂

In JKIA restaurants ni kadhaa.., with a world class launge.., Baba Levo kauliza mwenzake; "Airport yao waijua?" fala akajifanya kulinganisha na JNIA, Baba Levo akajibu: "Wewe mwehu, umekufa wewe, we' sio mzima!".., 😂😂😂😂😂😂
1661155001603.png

1661155032139.png

1661155052050.png

1661155112385.png

1661155136491.png

1661155152923.png

1661155176464.png
 
Ona mm naweka picha za chini hizi hapa zinaonesha ma slums wazi wazi, kwnn wewe unaweka picha za mawinguni, zoom kama mm tuone hizo slums, ona picha za chini hizi hapa wazi wazi kabisa View attachment 2331015View attachment 2331016View attachment 2331017View attachment 2331018View attachment 2331019View attachment 2331020
Kamwe hawezi weka picha za chini, ukweli wote anaujua vizuri, hapendi watu wakijua huo ukweli, atajifunga "own goal"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom