Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehehe....... to my greatest suprize in this video...
i was expecting most tanzanians (say about 75%) to say, 'the country they hate the most is 'kenya' but only one woman among more than 80tzs interviewed, said kenya! i mean only one person 1

see for yourself guyz
Watz wengi hawaifuatilii Kenya na wala wengi wao hawaijui ukiacha wa hapa JF especially kwenye huu uzi wa kenyans news, mm mwenyewe kabla ya kujiunga humu nilikuwa sijui chochote kuhusu Kenya, hata leo sijui vingi kuhusu Kenya, siwajui wanasiasa wengi wala wanamuziki au celebrities wa Kenya, siwajui kabisa tofauti na nyinyi Wakenya mnavyoijua Bongo na kuililia.

Binafsi sijawahi kuwaza kuja Kenya na hakuna nafasi hiyo huko mbeleni cz nnachojua mm ni nchi hatarishi sn kwa afya ya mwanadamu, siwezi kuja huko hata kwa dawa.
 
Yaani mnakuaga mpo mpo tu kishamba, mmezubaa mitaani, dunia hamuijui, ni hadithi pale vijiweni mkijidanganya as u lazy around.., mko down bana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Watz wengi hawaifuatilii Kenya na wala wengi wao hawaijui ukiacha wa hapa JF especially kwenye huu uzi wa kenyans news, mm mwenyewe kabla ya kujiunga humu nilikuwa sijui chochote kuhusu Kenya, hata leo sijui vingi kuhusu Kenya, siwajui wanasiasa wengi wala wanamuziki au celebrities wa Kenya, siwajui kabisa tofauti na nyinyi Wakenya mnavyoijua Bongo na kuililia.

Binafsi sijawahi kuwaza kuja Kenya na hakuna nafasi hiyo huko mbeleni cz nnachojua mm ni nchi hatarishi sn kwa afya ya mwanadamu, siwezi kuja huko hata kwa dawa.
hehehe... wacha kuji tia dole mbele yetu, hasa sisi jinsi tunavyo kukuelewa na kukufahamu vyema humu..🤔
wewe ni kama ndugu ama dada wetu humu tangu zamani sana......
iweje hasa leo! kwa ghafla hauijui tena kenya vizuri.!..

ok basi, kama hauijui kenya vizuri, basi kaka zako waTz humu (sema90%) wanaijua na kuielewa kenya vizuri sana ata kutuzidi sisi wakenya wenyewe... tukianza na Geza Ulole !!?😆😆
 
Watz wengi hawaifuatilii Kenya na wala wengi wao hawaijui ukiacha wa hapa JF especially kwenye huu uzi wa kenyans news, mm mwenyewe kabla ya kujiunga humu nilikuwa sijui chochote kuhusu Kenya, hata leo sijui vingi kuhusu Kenya, siwajui wanasiasa wengi wala wanamuziki au celebrities wa Kenya, siwajui kabisa tofauti na nyinyi Wakenya mnavyoijua Bongo na kuililia.

Binafsi sijawahi kuwaza kuja Kenya na hakuna nafasi hiyo huko mbeleni cz nnachojua mm ni nchi hatarishi sn kwa afya ya mwanadamu, siwezi kuja huko hata kwa dawa.
Utapata time wapi kufuatilia Kenya na uko busy na uwatchman?
 
Watz wengi hawaifuatilii Kenya na wala wengi wao hawaijui ukiacha wa hapa JF especially kwenye huu uzi wa kenyans news, mm mwenyewe kabla ya kujiunga humu nilikuwa sijui chochote kuhusu Kenya, hata leo sijui vingi kuhusu Kenya, siwajui wanasiasa wengi wala wanamuziki au celebrities wa Kenya, siwajui kabisa tofauti na nyinyi Wakenya mnavyoijua Bongo na kuililia.

Binafsi sijawahi kuwaza kuja Kenya na hakuna nafasi hiyo huko mbeleni cz nnachojua mm ni nchi hatarishi sn kwa afya ya mwanadamu, siwezi kuja huko hata kwa dawa.
Random question to Americans about African countries.., Tanzania zero.., (Kenya, SA, Nigeria dominates)..,
 
Unajua posh in Mombasa kweli kilaza? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 hizi ndio size ya uswazi zenu, mitaa ya raiya, posh in Mombasa ni akina Nyali, Kizingo, Tudor, etc.., sio Bamburi na Kiembeni., narudia jua Kenya na uzoee mapema, naona umepotea, Dar bado.., jivunie BRT, SGR ya umeme na CBD moja.., mengine fyata.,
Eastlands ya Mombasa..,
View attachment 2417152
View attachment 2417154
🤣🤣🤣 We jamaa ukapimwe akili.. kwa hizi takataka even ARUSHA is above of Mombasa ikija suala la street level
 
Random question to Americans about African countries.., Tanzania zero.., (Kenya, SA, Nigeria dominates)..,
Kenya ni nchi ya kimavi mavi sn huniambii chochote kuhusu Kenya nikakuelewa, Wakenya wengi hampendi nchi yenu including you.
 
yes! ni jiji la pili bongo na ina idadi ya watu 436,801.. as of 2019 period!

the recently released Censors, only captured 'Mkoa wa Mwanza', na idadi ya watu 2.7M lakini sio jiji lenyewe, kama jinsi ilivyo fanyika in 2019..
hapa tuko sawa bamdogo !?👍🏽
🤣🤣 Ni Takwimu za Sensa ipi zinazosema Mwanza Iko na 2.7 million people 🤣🤣🤣 au labda Mwanza ya Kenya
 
ooh.. sorry, i mean 3.1m Inhabitants sio 2.7m

Screenshot_20221115-173159_Chrome.jpg
Screenshot_20221115-173216_Chrome.jpg
 
We pimbi dopchinski Mwanza region iko na 3.6 million people, where by 1.2 million people ni wakazi wa Mwanza metropolitan (Ilemela + Nyamagana districts) mkeka huu hapa wa tz pp 2022👇
Screenshot_20221115-180127_1.jpg
usiwe unaokota takataka na kuzipost humu.. mnatabia ya kutusemea sana nyie mbwa 🤣🤣🤣 ..
 
We pimbi dopchinski Mwanza region iko na 3.6 million people, where by 1.2 million people ni wakazi wa Mwanza metropolitan (Ilemela + Nyamagana districts) mkeka huu hapa wa tz pp 2022👇View attachment 2417761usiwe unaokota takataka na kuzipost humu.. mnatabia ya kutusemea sana nyie mbwa 🤣🤣🤣 ..
sawa basi. hebu nipe muda nifanye utafiti ya CityProper pekee, bila ku include Metropolitan Area......

Nb: Ata kisumu Metropolitan Area pia ina watu zaidi ya millions mbili, baamdogo

Ona..... Mombasa CityProper is 1.6Million at the moment.... Metro about 3-4M there......
 
Watanzania si your Burret trains were suppose to arrive on 10th of November? We are in 15th and there are no signs of those scrapes reaching Dar anytime soon. Ama kuna traffic jam ya meli kule Indian Ocean?😂😂

NairobiWalker

nikuulize kitu kwann SGR ya tanzania inawaumiza sana na inawanyima usingizi hvi ni kwann???🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom