Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,054
- 33,291
Mm hizi flyover sijazikubali kabisa, zina bad impression kama ma flyover ya Kenya, ni flyover jua kali sana hii.Angalien kona kona kwenye flyover.
Afu hapa BRT itapita chin sio juu kwenye flyover
Pia, kwa pitapita zangu pale tazara, nimenotice BRT itapita chini. Haitajengwa flyover nyingine juu for BRT lane
Kenya sio taifa lile ni genge la mamamba hakuna anaejali kifupi nchi haina wenyeweHadi mashamba huko kenya ni foreign owned [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Teargass
Nowonder=No wonder. Ni maneno mawili hayo wewe nyang'au.😂History my foot. Nowonder Tanzania will forever remain LDC.
Anavutwa taratibu.
Tukisema ukweli wanatuchukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hzi ndio aina za magari wanayomiliki wakenya yani ni shida na umaskini
Angalien kona kona kwenye flyover.
Afu hapa BRT itapita chin sio juu kwenye flyover
Pia, kwa pitapita zangu pale tazara, nimenotice BRT itapita chini. Haitajengwa flyover nyingine juu for BRT lane
Kenya ni nchi ya kimavi mavi sn.Kenya sio taifa lile ni genge la mamamba hakuna anaejali kifupi nchi haina wenyewe
Huyo aliyejenga flyover ya Chang'ombe akamatwe afunguliwe mashtaka aisee. Yani ni kenyan type flyover kabisa, very ugly.Brt ikipita juu kutukua hamna muingiliano mzuri wa brt ya kutoka mbagala na gonholamboto
Tanzania is China’s gateway to Africa
Beijing has long understood the value of strong ties with the East African country
asiatimes.com
Yeah.Good point .Phases Zitashndwa kuingiliana unless zije zitumie lane ya chini kama Phase 5 na Phase 1 za BRT zitakavyokuja kufanyaBrt ikipita juu kutukua hamna muingiliano mzuri wa brt ya kutoka mbagala na gonholamboto
Pale ubungo mnaiongeleaje huo muungano, brt ya sam numoja road na mandela road zitakapojengwa? au ndo itakuwa ile njia inayoingia kama unaenda mawasiliano kuelekea bus terminal ya zaman..Yeah.Good point .Phases Zitashndwa kuingiliana unless zije zitumie lane ya chini kama Phase 5 na Phase 1 za BRT zitakavyokuja kufanya