Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 ndio ile barabara ya chini unapenda kupostView attachment 2413299

Kwa ground things are different mate.
IMG_7759.jpg

IMG_4811.jpg

IMG_4804.jpg
 
ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.

Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza

Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"

Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.

"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.

Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza.
 
SADC ilianzishwa Tanzania na makao makuu yake yalikua Dar es Salaam kabla hata South Africa haijapata Uhuru toka kwa makaburu[emoji23][emoji23]

Kuhusu COMES A, sisi ndio tunajua umuhimu wa COMES A vs SADC zaidi kuliko Ninyi.

Ni jambo la kushangaza kuona wakenya wakiumia kuona Tanzania inakosa faida za kibiashara kwa uamuzi wake wa kujitoa COMESA na kitendo cha Tanzania kuegemea zaidi SADC kuliko EAC , kumbuka Kenya na Tanzania ni "Competitors".

Iweje mshindani wako wa kibiashara awe ndiye anayejisikia vibaya pale ambapo mpizani wake anapofanya vibaya na kupata hasara kwenye biashara?[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya mnaona wivu Sana kwa Tanzania kuwepo SADC, the biggest, strongest and very prosperous economic block in Africa[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kitendo cha sa kuwaruhusu kuingia bila visa wenyewe wanaona kama washapiga hatua 1 kuingia sadc ila hawajui iko kitu akiwezekani kijiografia
 
ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.

Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza

Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"

Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.

"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.

Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza.
Trams au brt za umeme itakua bonge la mradi
 
Siku za Moi kuna Dada mwanahabari wa Kikenya mrembo sana anaitwa Catherine Kasavuli - enzi hizo yeye ndio alikuwa dada wa kutamani nchini. Sasa kuna rumours kwamba Moi ndiye alikuwa anatafuna. Halafu same time mwanamziki wa Kikongo Kanda Bongoman naye ndiye alikuwa amehit sana ukanda huu. The same time wasanii wengi wa Congo waliishi na kutolea nyimbo Kenya maanake Congo ilikuwa unstable. Sasa huyo Kanda Bongoman akanyemelea huyo Catherine Kasavuli naye akaanza kutafuna. Moi hakufurahishwa na hilo hadi akaban nyimbo za Kongo kuchezwa Kenya na wanamziki wa Congo kuperform Kenya. Huu wimbo, Nakei Nairobi Mbilia Bel aliutoa kusifia Moi ndio Moi akakubali tena wanamziki wa Congo kuishi na kuperform Kenya.
Hizi rumors peleka Kibera! Kama unajua Kanda Bongoman ame-hit 1990s huwezi kumuweka same time na Nakei Nairobi ya Mbilia Bel ya 1980s! Nakei Nairobi was way before Kanda Bongoman!
 
Tusubiri tuone, nahisi inaweza kuwa trams, unakumbuka mama alipokuwa Ufaransa walimshauri hata hizi BRT za dar wageuze ziwe trams
Dar inahitaji lita zaidi ya milioni 100 kwa siku.
Ng'ombe 5000 watatumia lita 225,000 kwa, Siku, haifiki hata milioni moja, au kuna sababu nyingine sijasikiliza hotuba.
 
Back
Top Bottom