Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi yenye GDP ya makaratasi inajinyea.

Wale wataalamu wa uchumi na mahesabu embu mtuambie GDP ikiwa 12.09 trillion Ksh kwa rate ya 121.5 per USD; GDP ya nchi itakuwa ngapi in dollar terms. Hizo figure ni according to Central Bank of Kenya FY 2021.

Screenshot_20221111-184916_Opera.jpg
 
Hawezi kuendelea na haya yote yanayotokea Tanzania, mgao wa umeme, maji ni kwaajili ya kupigwa chini CCM 2025. Kikwete ndio ametuletea huu ujinga, chaguo la magufuli lilikua Dr Hussein Mwinyi
Uyo tunae hadi 2030...na sijui atakuja na sera gani 2025
 
Kwaiyo Ng’ombe wamemaliza maji yote? What a lame excuse…
Unajua huwa naamini kuna vilaza wengi sana wanaongoza hii nchi ?
Mkuu ushawahi kuchunga ng'ombe?Je umewahi kuona mahali ng'ombe wanapokunywa maji Kila siku? Wanaweza wasinywe kumaliza mtu lakini huharibu utiririkaje wa maji na kutengeneza stipness na kama mtu unamaji machache basi jua Kasi yake itapungua.Muhimu kuwa na ufugaji au kilimo kisichoharibu ecolojia au uoto wa asili.
 
Prof Muhongo ni tatizo ana fikra za kitumwa bado! Yaani hata alipokuwa waziri alizuia wachimbaji wadogo nakumbuka hata vitalu wazawa walikataliwa mpaka Marehemu Mengi akamjia juu kabla ya JPM kumtumbua!
Alisema Watanzania hawana mtaji wa kuwekeza kwenye vitalu vya gesi labda kwenye ice cream
 
Back
Top Bottom