Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa wale waliokua wakidhani tz imeshuka kuwa kipato cha chini .. majibu haya hapa 👇. Don YF Teargass na wewe jamaa ulikua unawasapoti hawa mbwa tuusan haya mutoe ujinga kidogo

Prof Muhongo ni tatizo ana fikra za kitumwa bado! Yaani hata alipokuwa waziri alizuia wachimbaji wadogo nakumbuka hata vitalu wazawa walikataliwa mpaka Marehemu Mengi akamjia juu kabla ya JPM kumtumbua!
 
Nairobi, Kenya [emoji1139] has been named as Africa's top prime city by Knight Frank.

Nairobi was the only African city that record growth in the Third Quarter of 2022 in the Knight Frank Prime Global Cities Index.
FB_IMG_16681437109534048.jpeg
 
Ikitokea umekufa ukaenda jehanum utakuwa umeonewa maana utakuwa umekaa jehanam mara mbili hapa duniani na huko ahera dah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Prof Muhongo ni tatizo ana fikra za kitumwa bado! Yaani hata alipokuwa waziri alizuia wachimbaji wadogo nakumbuka hata vitalu wazawa walikataliwa mpaka Marehemu Mengi akamjia juu kabla ya JPM kumtumbua!

Good for Nothing, watu kama hawa ukiwasikiliza hutathubutu chochote, they have a problem to every solution. Mama asije akampa nafasi huyu jamaa kwenye wizara yoyote.
 
Streets of Downtown Nairobae,
Mji mchafu utadhani zizi la nguruwe , wakunya ni wachafu sana, wazee wa kunyakunya kila pahala na kwenye plastic bags, a reason Cholera kills thousands in Kunyaland. na vile you don’t poo with water.. stinking asses all over [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
IMG_8571.jpg

IMG_8570.jpg

IMG_8569.jpg

IMG_8568.jpg

IMG_8572.jpg

IMG_8567.jpg

IMG_8566.jpg
 
How old are you?Hii nyimbo ni ya forever bana,sielewi lugha ila imetulia sana
Siku za Moi kuna Dada mwanahabari wa Kikenya mrembo sana anaitwa Catherine Kasavuli - enzi hizo yeye ndio alikuwa dada wa kutamani nchini. Sasa kuna rumours kwamba Moi ndiye alikuwa anatafuna. Halafu same time mwanamziki wa Kikongo Kanda Bongoman naye ndiye alikuwa amehit sana ukanda huu. The same time wasanii wengi wa Congo waliishi na kutolea nyimbo Kenya maanake Congo ilikuwa unstable. Sasa huyo Kanda Bongoman akanyemelea huyo Catherine Kasavuli naye akaanza kutafuna. Moi hakufurahishwa na hilo hadi akaban nyimbo za Kongo kuchezwa Kenya na wanamziki wa Congo kuperform Kenya. Huu wimbo, Nakei Nairobi Mbilia Bel aliutoa kusifia Moi ndio Moi akakubali tena wanamziki wa Congo kuishi na kuperform Kenya.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]interesting
 
Streets of Downtown Nairobae,
Mji mchafu utadhani zizi la nguruwe , wakunya ni wachafu sana, wazee wa kunyakunya kila pahala na kwenye plastic bags, a reason Cholera kills thousands in Kunyaland. na vile you don’t poo with water.. stinking asses all over [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
View attachment 2412978
View attachment 2412979
View attachment 2412980
View attachment 2412981
View attachment 2412982
View attachment 2412983
View attachment 2412984
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
 
Kenya ni nchi ya kimavi mavi sn.
 
Good for Nothing, watu kama hawa ukiwasikiliza hutathubutu chochote, they have a problem to every solution. Mama asije akampa nafasi huyu jamaa kwenye wizara yoyote.
Hivi kwa nini isiwepo adhabu kwa wabunge wanaotoa Taarifa za uongo bungeni. Au kwa vile wao ni watunga sheria hawawezi kkujitungia sheria za kuwabana
 
Back
Top Bottom