Hata huko kwenye eneo lake kama mtaalamu wa Geology amezingua sana akiwa waziri, wakati akiwa wizara ya nishati na madini kina Lugemarila wakakwapua bilioni 320+ wakati yeye akichekacheka tu,
Yale maeneo ambayo wachimbaji wadogo wa dhahabu walitakiwa kuchimba yaliuzwa juu kwa juu kwa makampuni ya kikorea na kichina, Wachimbaji wadogo wa dhahabu (wazawa) walikuwa kama wapo Kuzimu wakati wa JK na huyu mwamba akiwa waziri,
Thanks JPM, sasa Chunya tunachimba dhahabu kwa amani walau japo mambo yameanza kuharibika tena.