Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How old are you?Hii nyimbo ni ya forever bana,sielewi lugha ila imetulia sana
ila huu wimbo, kidogo imletee huyu mwanadada matata.. 🙉🙊
kisa...
mobutu seseko aliona ni yeye ndiye aliye stahili kuabudiwa zaidi, kushujudiwa na kumiminiwa sifa zote duniani!.🙏🏽

hivi aliona chungu sana kuskia neno nyayo(moi) likitajwa huku likipewa sifa.!

pia isitoshe jinsi alivyo ienzi kenya, ata kutaja miji zote nne kuu nchini kwa hisia mingi tena kutoka ndani ya moyo💝.

naskia mobutu kwa wakati moja alihamrisha huyu mwanadada haukumiwe kunyongwa for treason allegation charges for showering praise on another president(moi) and country, and not for her own president, and her country🤔
uwivu nayo!
 
as much u tzs claim that u are very close to your blood brother the south africa,. And tht kenya kept distance with it during the apartheid era...
but on the ground kenya is even closer to SA in many fronts than u can comprehend!🤔

i mean when it comes to matters roads infrastructure, city planning, real estate, lifestyle, education, banking and finance, malls, aviation, maritime, tourism, etc

here nakuru for instance is closer to polokwane or port elizabeth or bloemfontein in many aspects than any tanzanian city.. (may be arusha abit)


polokwane city👇🏽
international-prayer-breakthrough-gathering-in-polokwane-in-november-696x464.jpg


nakuru city👇🏽
 
kujipendekeza nayo!?..

its straight forward SADC stands for 'Southern Africa' bla bla bla....... tanganyika na ku force vitu aky[emoji849][emoji848]
yani wako 'East' vizuri sana, kwenye ramani, but utaskia wakidai eti 'sisi tuko southern africa region sisi'..

hivi wanajiona kana kwamba Tanzania ni miongoni mwa mikoa tisa za SA, yaani Tz ndio itakua mkoa nambari kumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ok.. so, sikuihizi 'eastern' imekua 'southern' in coded language 010101


i still remember, sometimes back, some high-profile-think-tank-scholars had reazoned out tht, by tanzania not joining comesa, it stands out to loose alot! and that comesa would have done far much more good for tz, than wht it does rghtnow with their so called sadc brotherhood trading bloc.
ni kama kujialika mwenyewe kwenye karamu pasipo mualiko rasmi. yaani ni sawa pia kujitia dole View attachment 2412215View attachment 2412216
SADC ilianzishwa Tanzania na makao makuu yake yalikua Dar es Salaam kabla hata South Africa haijapata Uhuru toka kwa makaburu[emoji23][emoji23]

Kuhusu COMES A, sisi ndio tunajua umuhimu wa COMES A vs SADC zaidi kuliko Ninyi.

Ni jambo la kushangaza kuona wakenya wakiumia kuona Tanzania inakosa faida za kibiashara kwa uamuzi wake wa kujitoa COMESA na kitendo cha Tanzania kuegemea zaidi SADC kuliko EAC , kumbuka Kenya na Tanzania ni "Competitors".

Iweje mshindani wako wa kibiashara awe ndiye anayejisikia vibaya pale ambapo mpizani wake anapofanya vibaya na kupata hasara kwenye biashara?[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakenya mnaona wivu Sana kwa Tanzania kuwepo SADC, the biggest, strongest and very prosperous economic block in Africa[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
kwani umesahau kenya, tulinasua namibia, south sudan, liberia, somalia, ethiopia, DRcongo!?...... hebu gugo tafadhali, kisha urejee hapa, uscheze mbali... nakutegea kwa hamu🙏🏽

hope ume note vyema.... nimesema
Namibia around 1989-90,
SouthSudan around 2009-10,
Liberia in the 90s,
TheNewSomalia around 2001-03,
Ethiopia's (Oromo Tigrey region) at this moment 2022,
DRCongo at this moment 2022..
Mlinasua Ethiopia? Ethiopia Ipi hiyo? Sio Ethiopia ilinasua nyie? Na Namibia ipi mlinasua wakati ofisi za SWAPO na operations zake zilikuwa Bongo! Wacha upumbavu!

Liberia how? Hebu elezea Kunyaland ipo ECOWAS? And Somalia mme-achive nn so far? BTW in South Sudan Uganda did more than Kundustan!
 
ila huu wimbo, kidogo imletee huyu mwanadada matata.. [emoji86][emoji87]
kisa...
mobutu seseko aliona ni yeye ndiye aliye stahili kuabudiwa zaidi, kushujudiwa na kumiminwa sifa zote duniani!.[emoji1431]
hivi aliona chungu sana kuskia jina nyayo a.k.a moi ikimiminiwa sifa.!
pia isitoshe jinsi aliyo ienzi kenya, ata kutaja miji zote nne kuu nchini kwa hisia mingi mno kutoka moyoni ndani ndani[emoji307].

naskia mobutu kwa wakati moja alihamrisha huyu mwanadada aukumiwe kunyongwa for treason allegations for painting praise for another president(moi), and not for he himself
Madictator hua ni wazinguaji sana[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom