Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Remember when Tanzania sent ‘relief aid’ to the victims of cyclone Idai In Mozambique, Zimambwe and Malawi in 2019? A few years earlier when an earthquake struck Kagera, there weren’t as much efforts to help the affected TANZANIAN citizens. It seems as though we do not care about the lives of our own people. We are definitely not prepared for emergency rescues. Perennial rainfalls that cause floods in Msimbazi almost every year claim several lives, but usually, nobody cares about rescuing these people. What a shame!
Acha porojo wewe!
 
Yeah .Wakati sehemu nyingne squad inaenda wanatoboa ceeling tu chap wanaevacuate watu kwa juu kwa kutumia helicopter in 1 hour unakuwa umeokoa wengu. Na helicopter ni very cheap aiseh.

We also need to have Firefighter helicopter .Nchi inayoweza ku afford dreamliner surely it can afford 5 Emergency Helicopters.which can serve as Ambulances, Rescue mission , Fire Fighting
Labda kwa kuwa limetokea hili wataweza kuyafanya yote uliyoshauri ambayo ni mazuri. Lakini serikali yetu sikivu kwa vile hufanya kazi baada ya majanga huenda imesikia.
 
Geza Ulole Unadhani ajali ni kitu rahisi sana. Kwamba kila mtu atakuwa organized na kuwa responsible. But no! People panic in situations like these. Kama kungekuwa na rescue helicopters Au marines nina uhakika death toll isingekuwa kubwa. And the plane crashed very close to the shores! Imagine if it had landed farther away from civilization.
Kusingetoka hata mtu 1 aliye hai.
 
Dar es Salaam is beautiful.[emoji4][emoji2]

Always
IMG_6523.jpg
 
Someni hiki kipande
All the goods (including old coaches & engines), technologies and services shall preferablly be purchased from China View attachment 2408795
Nyinyi ata a simple feasibility study haijawahi kuwekwa for public!!!
SGR yenu ndio imejaa matope but vitu zimefunikwa na hakuna mtu ata mmoja ameliongelelea hii topic,
Nchi kila mtu ni ZUZU.
 
Nyinyi ata a simple feasibility study haijawahi kuwekwa for public!!!
SGR yenu ndio imejaa matope but vitu zimefunikwa na hakuna mtu ata mmoja ameliongelelea hii topic,
Nchi kila mtu ni ZUZU.
SGR ya Tanzania sio feasible and this fools never talk about that
 
Back
Top Bottom