Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi iliyolaaniwa, mpaka wanyama wanajuta kuzaliwa huko.
Screenshot_20221105-174846.jpg
 
Yote uliyotaja katika sekta ya Afya na kilimo ni muendelezo ya aliyoanzisha Magufuli, vifaa vyote vikubwa katika Hospital zetu ni kazi ya Magufuli. Mimi nilikua hapo Muhimbili kipindi cha Mwinyi na Mkapa Hadi Kikwete, hali ya Hospital zetu ilianza kubadilika mara tu JPM alipoingia madarakani
1) Alitimua uongozi wa Muhimbili na kuweka uongozi mpya
2)Alibadilisha uongozi wa MSD
3)Alianzisha mfumo wa kununua dawa Moja kwa Moja toka viwandani India badala ya kutumia "middlemen".
4)Alipandisha kiwango cha upatikanaji dawa kutoka wastani wa 22% kabla ya uongozi wake Hadi 90%
5) Alifufua CT scanners na MRI ambazo zilikua hazifanyi kazi kutokana na sababu mbalimbali
6)Alinunua X-ray machines za kisasa na kununua vifaa vipya Kule Ocean road Cancer Institute ikiwemo PET scanner
7)Aliokoa Hospital ya Bugando ambayo ilikua na mgogoro mkubwa wa kiuongozi na kifedha
8)Aliimarisha utendaji wa MSD kiasi cha kufanya ichaguliwe kuwa kinara katika SADC na kuchaguliwa kuwa ndio mnunuzi na msambazaji wa dawa na vifaa tiba wa SADC
9)Alikutana na kushawishi uwekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini, zaidi ya viwanda 5 viko ktk hatua za mwisho

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi kusema ukweli sikuwa nafuatilia sana miradi mikubwa ndani ya nchi yangu kabla Hayati Magufuli hajashika Dola, Nilipenda uchapakazi wake toka akiwa Waziri,Naibu waziri mpk Rais Niliona CCM imefanya chaguo sahihi,JPM alituaminisha Tanzania inaweza tekeleza miradi mikubwa iliyokuwa ikizinguka tu kwny ilani ya CCM kila uchao ikipigwa dochi kwnd mbele,kitu kilichonipa shida kwa mwamba kimojawapo ni uropokaji unnecessarily 😆.
Mama Samia amechukua nchi miradi hii ikiwa ni michanga sana na miradi mingi ni mikubwa na miradi hii sio mtu anajitungia tu ipo kwny ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi,Ni kasi na udhubutu wa utekelezaji tunaona miradi inakwenda,Mwacheni Mama kwa sasa afanye kazi miradi mipya mikubwa kwa sasa ya nini?! wakati hata hii haijakamilika na iko kwny hatua mbalimbali na mingi ameichukua ikiwa kwenye hatua za awali kwny utekelezaji?!.
 
Mnaobeza kujengwa kwa bandari ya bagamoyo poleni sana.

1. Dar es salaam haitakua na uwezo wa kupokea containers kwa wingi kama itakavyokua bagamoyo in 10 years time.

2. Distance kutoka Tanga au mtwara to Dar na distance kutoka bagamoyo to Dar ni sawa? Yani mtu ana biashara zake dar, aanze kuutoa mzigo bandarini tanga sijui mtwara kwa ma lorry aje nao dar aanze kuuza wakati kutokea bagamoyo unaweza kuusafirisha kwa gharama nafuu na kuufanyia biashara Dsm kiurahisi.

3. Kwa sasa Dar inaanza kujaa na watu wanahamia pwani huku wanafanya kazi Dar, nani ataishi Tanga au mtwara afanye kazi dsm in a day? Hamuoni urahisi kama Bandari ikijengwa Bagamoyo then mji unakua kwa haraka na itafika stage bagamoyo inaweza isiwe pwani tena(maono tu)

So mnaoikataa Bandari ya Bagamoyo poleni tena, I personally have faith in the the BSEZ. Acha Mji ukue.

Wewe kama hupendi ijengwe toa sababu zako ila kama barrier ni mkataba serikali si imesema inaanza yenyewe.

Tuwe positive at times
Apa unaongelea kupanuka kwa mji Me Nadhani Bandari ya Dar ipanuliwe Nyumba zilizo karibu zibomolewe na suala la Dar kuendelea kuongeza Mipaka nakataa mpaka apo wanaeneo kubwa sana itasumbua kuweka Miundombinu
 
Kaangalie vizuri maana ya maneno haya
*viaduct
*underpass
*overpass
*flyover.

Hizi zote ni bridges ila zinatofautiana
Sasa wewe utanifundisha kuhusu those terms yet you weren't having them in Tanzania until recently?
 
Apa unaongelea kupanuka kwa mji Me Nadhani Bandari ya Dar ipanuliwe Nyumba zilizo karibu zibomolewe na suala la Dar kuendelea kuongeza Mipaka nakataa mpaka apo wanaeneo kubwa sana itasumbua kuweka Miundombinu
Bandari ya Dar inapanuliwa kwenda wapi? Wanabomoa nyumba ya nani pale ferry🤣 hivi unajua ukubwa wa eneo lililotengwa Bagamoyo compared to Bandari iliyopo Dsm? So unasema pale wabomoe zole ofisi za Central police, TRA NA TPA na Johari Rotana, Kanisa lile then waizike ile lami au unasemaje?😂

Kingine unasema haina haja ya mji kukua so Dsm ibaki mji mkuu wa kibiashara ikizungukwa na wazaramo tu au sio. Miundombinu iliyopo mikoa mingine ilifikaje?

Watanzania tunahitaji kufikiria practically na sio theoretically
 
Back
Top Bottom