kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,638
- 4,277
So as Dodoma, singida, Tabora, Shinyanga, and no one dies of hunger.
Are they deserts like Turkana?
So as Dodoma, singida, Tabora, Shinyanga, and no one dies of hunger.
Hujaeleweka vyema hapa bosi JNIA inaendeshwa na TAA kwa asilimia 100!, Na upigaji unaozungumziwa hapo ni upigaji wa Immigration.Ni kweli swala la KADCO linahitaji ufafanuzi na sielewi kwa nini JPM hakulifanyia kazi moja kwa moja wkt alianza nalo toka akiwa waziri wa ujenzi.KIA ilirudishwa serikalini kisiasa tu ila utendaji wote ulibaki KADCO kama hakuna kilichotokea.Awamu ya 4,5 na ya 6.Naona pia waziri mwenye dhamana amepewa siku mbili aeleze kwanini JNIA inaendeshwa na kampuni ambayo haipo (KADCO ) badala ya TAA.
Hii kitu ni kali, who said Kenya was copying ama ni wivu inakusukuma?, iko tafauti sana and unique in its way, najua ulikosa jibu kutoka Dar ilibidi ujaribu kuponda lakini wapi!![]()
![]()
![]()
hii ni Nairobi zoea, wivu itakuuwa masikini..,
View attachment 2407438
View attachment 2407436
View attachment 2407437
Are they deserts like Turkana?
Sema hiyo road inayopita juu ndiyo sijajuaga huwa inatokea wapi na kuelekea wapi.

, mbona Nairobi kijografia ipo na hali ya hewa nzuri kama ya Chuga lakini ndoivyo Vumbi kushoto kulia
Makenya ni mavivu yanasingizia jiografia
Dodoma inaongoza kwa kilimo cha zabibu..
Singida inaongoza kwa kilimo cha alizeti..
Wapo bze wanasema nature inatubeba, mbona Nairobi kijografia ipo na hali ya hewa nzuri kama ya Chuga lakini ndoivyo Vumbi kushoto kulia
View attachment 2407598
, Hawawezi kuwaza kitu kinachofaa kwa hiyo hali ya hewa na kugeuza fursa ? Shida nini mbona wanasema wana kipato kikubwa na ni Matajiri. Tajiri gani ana hali mbovu hivi 
Sema hiyo road inayopita juu ndiyo sijajuaga huwa inatokea wapi na kuelekea wapi.
Ujuaji wa mdomoniNa wanasema wana elimu iliyo na ubora wa hali ya juu huku matatizo madogo kama kutumia changamoto kuwa fursa inaonyesha ni shida. Hawawezi kuzoa hata taka, Hawawezi kuwaza kitu kinachofaa kwa hiyo hali ya hewa na kugeuza fursa ? Shida nini mbona wanasema wana kipato kikubwa na ni Matajiri. Tajiri gani ana hali mbovu hivi
![]()

Wanajisifu wa think-tank wengiNa wanasema wana elimu iliyo na ubora wa hali ya juu huku matatizo madogo kama kutumia changamoto kuwa fursa inaonyesha ni shida. Hawawezi kuzoa hata taka, Hawawezi kuwaza kitu kinachofaa kwa hiyo hali ya hewa na kugeuza fursa ? Shida nini mbona wanasema wana kipato kikubwa na ni Matajiri. Tajiri gani ana hali mbovu hivi
![]()



Idiots! Colonial midset! Inferiority complex!Sporting Nation, Curling View attachment 2407320View attachment 2407321
Mzungu hata akila mavi na nyie mtakula tu!Sporting Nation, Curling View attachment 2407320View attachment 2407321
Wana kawaida ya matatizo yao kutupia watu wengine au kujihusish na mafanikio ya watu wengineWanajisifu wa think-tank wengi![]()







Hoja yako ni ipi naona unaporomosha matusi tu
"Wewe unamatatizo sio bure," "Achana na huu upumbavu wako kabisa," "We kweli hamnazo"
Na wanasema wana elimu iliyo na ubora wa hali ya juu huku matatizo madogo kama kutumia changamoto kuwa fursa inaonyesha ni shida. Hawawezi kuzoa hata taka, Hawawezi kuwaza kitu kinachofaa kwa hiyo hali ya hewa na kugeuza fursa ? Shida nini mbona wanasema wana kipato kikubwa na ni Matajiri. Tajiri gani ana hali mbovu hivi
![]()
Thanks for posting outdated article.Kwa ground mambow yapo hiv kwa health facilities in kenya only 9k 👇View attachment 2407161
😂😂😂Wana kawaida ya matatizo yao kutupia watu wengine au kujihusish na mafanikio ya watu wengine
Mfano swala la ombaomba hko kwao waatupia lawama tz, yani ombaomba wa tz ana nauli yakwenda Kenya kuomba
Cheki swala la mahindi na mazao mengine, wanasema wao ndo wanalima hku Tz halafu wanajiuzia
Yani ilimradi wasionekane wajinga![]()
Hizo 14k is still less than what Kenya has done. Economy ya Tanzania imeshikwa na wakenya na wahindi.1.Kwa ground Tz haijapave 12Kms bali ni 14Kms
2.Hamtakaa mucontrol uchumi wetu
This is overpass idiot.