Nyinyi watanzania huwa wajinga sana, yani Kenya tukijenga kitu eti tumocopy. Ebu nieleze nini hapo Bongo mmejenga chenye hakijawai jengwa mahali kwengine? Hivi hamuoni Africa sote tunacopy tu vilivyo kwengine? Mbona mnakua wanafiki hivi?
But Nairobi has way better architecture than Dar.Shida yenu mnacopy halafu mnaharibu [emoji3][emoji3][emoji3]
Juakali republic
According to nyanyaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kwamba hadi vyoo ni jengo? So include them in the number. First, let me educate you kidogo. From 14m buildings, removeNakupa nafasi ya kukadiria, Kati ya majengo 14+ million, nyumba za makazi zinaweza kuwa ngapi.? Na majengo mengine kwa matumizi mengine yanaweza kufika mangapi.?
Kwangu mimi nakwambia majengo mengine tofauti na makazi in Tz ni less than 1 million ..
Ilikua zaidi ya trillion 1 ilitumika kujenga quarters za jeshi awamu ya 4 nchi nzima na walikua wakikatwa kwenye mishahara lakini JPM aliwafutia deni likabebwa na serikali yenyewe.
Hahaha ninyi watu mnapenda sifa za kifala, think tanks wakati nchi inanuka njaa na bundits kila kona
Post zako zote hume 50% ni kujisifu the other 50% ni kuiponda Kenya na unasema tunapenda sifa?Hahaha ninyi watu mnapenda sifa za kifala, think tanks wakati nchi inanuka njaa na bundits kila kona
UongoTume export $8B last yearView attachment 2405653
Wewe unajisikiaje unapoona wakenya wenzako wakifa njaa?Post zako zote hume 50% ni kujisifu the other 50% ni kuiponda Kenya na unasema tunapenda sifa?
Wapi? Wameenda kutembeza bakuli China as we currently type.I thought Tanzanians don't borrow.
Mbona hampendangi ukweli lakini?Mkishindwa kitu mnaleta vitu vya ajabu ajabu😁.. anyway😂😂
View attachment 2406020
Bure au tutalipa?, Sasa tuonyeshe pesa iliyotumika katika kugharimia hiyo safari, jiulize hiyo pesa isingetosha kugharimia ukarabati wa huo uwanja?Jengo la abiria la T2 litakarabatiwa na hao wafaransa..