Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwann ikulu wasitenge budget wanunue ndege ya Raisi inayofika popote bila kuathiri izo za abiria...hii nchi kuielewa ni kazi sana
eeh!.. kama tu venye tulifanyanga huku kenya, tangia enzi za moi. sio? private jet yani, ama vipi?
its high tyme for tzee meeen! bora wee umeanika hii hapa leo😆
 
The trickiest part about Tanzanian city statistics is that the numbers are simply agglomerations, without considering city limits, urban, or metropolitan area. They just tell you that Dar’s population is 5 million! Okay, what percentage of the population resides within the city limits? What about the urban area of Dar? And the metropolitan area? Kenya has done a great job. There’s a clear distinction and the numbers are highly reasonable when you look at how they’ve published their statistics.
Chamoto
 
eeh!.. kama tu venye tulifanyanga huku kenya, tangia enzi za moi. sio? private jet yani, ama vipi?
its high tyme for tzee meeen! bora wee umeanika hii hapa leo
Hili ndio tatizo lenu wakenya, mbona Uhuru Kenyatta alipokwenda Jamaica na Barbados alikodi Gulf stream ya pesa nyingi hakutumia ndege yake chakavu? Muda mwingi mnadhani mkifanya jambo n8 sahihi.

Kwa taarifa yake, Kenya inapoteza pesa nyingi kugharamia gharama za viongozi kuliko nchi yoyote hapa Africa

Sisi Tanzania tunamlalamikia rais wetu kwa tabia yake ya kupenda kusafiri Sana, wewe unashabikia ununuzi wa ndege ya rais ili aendelee kuzurura duniani, ndio sababu Rutto alitembelea nchi 5 ndani ya wiki mbili tangu kuapishwa kwake na bado mnamsifia. We are different indeed
 
kweli wachina wame muheshimisha Mama...

Presidential motorcade.
Xi alipochaguliwa kwa mara ya kwanza 2013 alifanya ziara ya kwanza nje kuja Tanzania na alitangaza sera ya mambo ya Nje ya China akiwa Dar..

Na sasa baada ya Kujiongezea muda amechagua kumualika Rais wa Tanzania kuwa wa kwanza.

Binafsi siwaoendi Wachina hata kidogo ila wao wanaichukulia Tanzania ni rafiki yao wa kuamini hapa Afrika.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-112608.png
    Screenshot_20221103-112608.png
    193.4 KB · Views: 8
  • 20221103_112550.jpg
    20221103_112550.jpg
    86.8 KB · Views: 8
  • 20221103_112555.jpg
    20221103_112555.jpg
    62.5 KB · Views: 6
  • 20221103_112557.jpg
    20221103_112557.jpg
    129.9 KB · Views: 7
  • 20221103_112600.jpg
    20221103_112600.jpg
    56.7 KB · Views: 7


MY TAKE
Ila dah mama anapenda matanuzi, yaani dremliner lote kwa ajili yake tu? Yaani kama Xi Jinping anayeenda kumkopa! This has to change!

Wewe Mzee ulikuwaga vuvuzela na muwashiwashi Sana wa SSH,naona baada ya kupigwa chini kwenye uteuzi unafanya maigizo Sana..

Kwa Taarifa Yako hakuna ziara ya Mama amefanya Nje ya Nchi ikaleta hasara kuliko costs anazotumia kwenye safari zake..

Mathalani alipokwenda Marekani kuzindua Royal tour tumeona Watalii wa kigeni wengi wao Sasa wanatoka Marekani na pia tulipata soko la kuuza processed korosho na tayari uuzaji wa kwanza umeanza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221102-131740.png
    Screenshot_20221102-131740.png
    137.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221102-130548.png
    Screenshot_20221102-130548.png
    126.3 KB · Views: 8
Ujenzi wa barabara za lami unashika Kasi kila Kona ya Tanzania..

Ruvuma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-211629.png
    Screenshot_20221101-211629.png
    90.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom