Naelewa mkuu.. nimesema tu ngoja nimtete

Alafu ishu ya kutengeneza faida, kwenye mahesabu, ikulu haiwezi kutoa kiasi flan kwenda ATCL (na faida juu) kama gharama ya safari ya rais.
?
Mfano, kwa huo mda hio ndege inafanya safar ya rais, ingekuwa kwenye route zake tuseme ilipaswa kuingiza mil 50 (mfano tu).. lkn kwakuwa ikulu imekodi, itabidi ikulu kweny mahesabu yake (expinditure) watoe mil 100 kwenda ATCL (extra faida ni mil 50).. hawawez kufanya hiv? So sion kama ATCL wanapata hasara kwenye safari za rais, lbda serikal (ikulu) ndo inakuwa inatumia hela vibaya..
kuna kipindi magu alisema serikal miaka ya nyuma ilitumia zaid ya 300bil kwa safar za viongoz nje ya nchi